Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Hapa ndio mahali alipozaliwa mtu anayejulikana kama Daudi Bashite lakini alipokuwa kijana mkubwa akabadilika na kuwa Paulo Makonda. Na hilo lilifanyika bila ubatizo, kiapo mahakamani au hata kafara kama ilivyo zoeleka katika taratibu za kisheria.
Jambo hilo limekipa kijiji hicho umaarufu sana kwani kwa wiki kadhaa kimetajwa sana na sasa kila mtu anahamu ya kufika huko na kupaona. Nadhani baada ya wale wageni wa Gwajima Jumapili hii ambao ni wazee kutoka Koromije na walimu wa zamani wa Koromije Primary school hali itakuwa tofauti sana.
Wadau ni wakati wa kuwekeza huko Koromije na sio vema mkaikosa hiyo Fursa adimu. Twaweza iita BASHITE INVESTIMENTS OPPORTUNITY
 
Hapa ndio mahali alipozaliwa mtu anayejulikana kama Daudi Bashite lakini alipokuwa kijana mkubwa akabadilika na kuwa Paulo Makonda. Na hilo lilifanyika bila ubatizo, kiapo mahakamani au hata kafara kama ilivyo zoeleka katika taratibu za kisheria.
Jambo hilo limekipa kijiji hicho umaarufu sana kwani kwa wiki kadhaa kimetajwa sana na sasa kila mtu anahamu ya kufika huko na kupaona. Nadhani baada ya wale wageni wa Gwajima Jumapili hii ambao ni wazee kutoka Koromije na walimu wa zamani wa Koromije Primary school hali itakuwa tofauti sana.
Wadau ni wakati wa kuwekeza huko Koromije na sio vema mkaikosa hiyo Fursa adimu. Twaweza iita BASHITE INVESTIMENTS OPPORTUNITY

Think tank wa chadema! Wacha Mbowe atumbue ruzuku na Joyce Mukya mwe!
 
Nadhani ngwajima kaliona hili ndo maana anataka kununua treni
 
Kipindi hiki kama kweli wanakuja wazee wastaafu toka karamoja tumeambiwa kuna ambao taaluma zao ni walimu. Nini lengo la kuja kwao? Jibu unalo. Je wanatimiza matwakwa au matamanio ya Mungu au ya Gwajima? chagua jibu lililo sahihi. Jibu unamnalo. Lazima hawa wageni watakua na Biblia zao mikononi.

Mazingira yenye mahitaji kama hili la sasa yaweza kujitokesa tena huko mbele ya safari. Ila zamu hiyo itakuwa ni wazee pengine wastaafu wa jeshi nao wakitaka kutimiza matamanio ya askofu mtumishi wa mungu. Wakiomba Biblia na banduki mambo yatakuwa vipi?

Na washawasha!
Ndo maana nilikujibu kuwa huyo wa Uganda na siasa za huko haviendani na hiki kinachoendelea.

Hata hivyo, vita haiwezi kuwepo kama upande wa pili haujaamua vita iwepo.
Hofu hii ingewatia na pro-bashite wote wamwambie bashite aweke vyeti mezani ili kukata mzizi wa kinachoweza kutokea baadaye.

Bashite weka vyeti mezani ili hiyo vita isitokee.
 
Koromije, Koromije, Koromije Tunashukuru kutuletea kiongozi aliefeli drs la nne, la saba, na Form Four lakini hivi sasa ni kiongozi mashuhuri katika huu ukanda wa Arika Mashariki na Kati. Kweli hakuna haja ya kusota kusoma kama una bahati utafika na kupita wote waliosoma.
 
Usisahau na Koromije...

Ila sijaona sehemu aliposema yeye ni Bavicha...

Hii filamu ya bashite inachezwa kwa pamoja na mahasimu wawili... uvccm na bavicha.

Unajua kuna sehemu mambo yanafikia hadi mtu unashindwa hata kutenganisha kipi ni kipi.

Kuna sijui Bavicha...sasa kuna Bashite.

Yaani vurugu vurugu tu halafu mwisho wa siku wala hakuna la maana.
 
Hivi mleta hoja kuna mahali kasema yeye ni msemaji wa Chadema? Sasa kwa nini ahusishwe na Chadema kama vile hoja yake ni ya chama
 
Unajua kuna sehemu mambo yanafikia hadi mtu unashindwa hata kutenganisha kipi ni kipi.

Kuna sijui Bavicha...sasa kuna Bashite.

Yaani vurugu vurugu tu halafu mwisho wa siku wala hakuna la maana.
Ndio maana saa nyingine bora ujikalie zako kule MMU utongoze kina Valentina

Huku siasani wanakuweza wenye siasa zao uchwara...
 
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.

Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?

Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.

Ngoja nikupe somo la msamaha. Msamaha unagawanyika katika sehemu mbili, yaani kusamehe (to forgive) na kupatana (reconciliation). Kupatana ina vitu viwili ndani yake, huo masamaha (forgiveness) na toba (penance). Bila toba hakuna kupatana na hilo hata mungu analikubali. Toba ni nini? Mtu akikuibia, msamehe, lakini kama hajutii, haoni kosa lake, hajirekebishi, hamna reconciliation - yaani hamna kupatana. Mfukuze kazi. Toba au penance kwa mhalifu ni kama kifungo, kwa mtoto mdogo ni kuchapwa nk. Haizekani mtu anafanya uhalifu wewe unaachilia tu. Utageuzwa fala. Atarudia tena. Bashite sisi WOTE tunamsamehe lakini lazima atoe "penance" yake. Akubali kosa ajiuzulu ili tupatane. Achapwe ajifunze alafu tupatane nae otherwise Ma-Bashite wengine wataendelea kufhadisha wanyonge. Baba Gwajima wasaidie wanyonge, msamehe Bashite lakini endelea na zoezi ili toba ipatikane. Bwana asifiwe!
 
MUNGU WA GWAJIMA SAFI SANA, HAPENDI UNAFIKI

NYOOOOSHAA WOTE WAKUMULIKAO MCHANA
 
Mungu ni mkuu na muweza wa yote.....yeye huweka mambo yote wazi.
mwacheni Gwajima tenda nikutende hiyo!!!! yeye Bashite alivyowafanyia wenzie ni sawa kama yule marehemu Kabwe ndiyo kwanza movie inaanza!!!!!!
 
Sidhani kama kuna siku huyu gwajima atafundisha somo la kusamehe. Wapentecoste ninauhakika hawajajengwa kwa misingi hiyo. Neno samehe limeondoka kinywani mwa kuhani. Neno kisasi ni juu ya Mungu hasa ktk majira haya halina thamani tena mbele ya kuhani. Je...ndo kusema nyakati za mwisho? Simtetei bashite ila nawaza kimya kimya...

Msamaha unagawanyika katika sehemu mbili, yaani kusamehe (to forgive) na kupatana (reconciliation). Kupatana ina vitu viwili ndani yake, huo masamaha (forgiveness) na toba (penance). Bila toba hakuna kupatana na hilo hata mungu analikubali. Toba ni nini? Mtu akikuibia, msamehe, lakini kama hajutii, haoni kosa lake, hajirekebishi, hamna reconciliation - yaani hamna kupatana. Mfukuze kazi. Toba au penance kwa mhalifu ni kama kifungo, kwa mtoto mdogo ni kuchapwa nk. Haizekani mtu anafanya uhalifu wewe unaachilia tu. Utageuzwa fala. Atarudia tena. Bashite sisi WOTE tunamsamehe lakini lazima atoe "penance" yake. Akubali kosa ajiuzulu ili tupatane. Achapwe ajifunze alafu tupatane nae otherwise Ma-Bashite wengine wataendelea kufhadisha wanyonge. Baba Gwajima wasaidie wanyonge, msamehe Bashite lakini endelea na zoezi ili toba ipatikane. Bwana asifiwe!
 
Back
Top Bottom