Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Anaweza au hawezi, ni juhudi za pamoja.

Uthubutu wake kuwataja watu maarufu, umefufua vita dhidi ya biashara ya madawa ya kulevya. Ushahidi unsonekana kwa idadi ya madawa hayo yanayokamatwa na kuteketezwa; uteuzi wa Kamishana; kukamatwa kwa watuhumiwa nk

Pamoja na hayo, shutuma na tuhuna mbalimbali dhidi yake, ni dhahiri kwamba ametupa nguvu mpya ya kupambana na hii vita.
Hata hivyo ni lazima tumpongeze Makondona alifanya makosa wakati wa kufanya mazuri. Kosa lake ni kutaja hadharani na kuwalaza mahabusu watu bila ya kufanya utafiti wa kina. Je, kosa hili linafuta (outweigh) nia yake ya kuyaondoa madawa ya kulevya Dar es Salaam? Tusijekuwa tunawasaidia na kuwafurahisha wauza madawa wazidi kushamiri tunapomshambulia Makonda.
 
viongozi wa makanisa yanayotambulika kama RC,LUTHERAN,na baadhi mengine huwezi wasikia wanahubiri upuuzi au chuki zidi ya binadamu mwingine,lakini haya makanisa yanayoota kama uyoga yasiyojulikana hata chimbuko lake ni wapi,ndo hao aina ya hoyo bwana !!mpuuzi!!


Mbona unakimbilia kutukana makanisa yoyote kwa ajili ya mjadala wa vyeti tuu?

Kama kutambulika ni kunyamazia ufojaji wa nyaraka za serikali au kutokukemea uovu, hakuna faida yoyote na hata mbinguni hawatapata thawabu kwa kuwa walitambuliwa na serikali, ila kwa matendo yao yasiyo ya kinafiki.
 
Ninachoshindwa kuelewa tatizo ni kuwa gwajima ni mchungaji hatakiwi kujihusisha na mambo ya kijamii,au kosa ni yy kama kiongozi wa kijamii kujitokeza hadharani na kusema anachoamini ni ukweli na kutaka kuuthibitishia umma kuwa ni kweli,au kosa ni kumuongelea mtu aliyesababisha kukamatwa kwake kwa kosa ambalo hajakutwa nalo na kosa ambalo limeharibu image yake na jina lake katika jamii na kosa ambalo linaonekana ni labda chuki za huyo aliyemtuhumu au kutafuta umaarufu au kukurupuka au ni kosa halali na anajihusisha ila ameshindwa kuthibitisha. Nadhani kila mtanzania ana uhuru wa kutoa maoni na kuongea atakacho ili mradi asivunje sheria bila kujali shughuli yake,kabila,dini,umri......tumuache gwajima azungumze ili mradi asivunje sheria
 
Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
Ww umepimwa akili?
 
viongozi wa makanisa yanayotambulika kama RC,LUTHERAN,na baadhi mengine huwezi wasikia wanahubiri upuuzi au chuki zidi ya binadamu mwingine,lakini haya makanisa yanayoota kama uyoga yasiyojulikana hata chimbuko lake ni wapi,ndo hao aina ya hoyo bwana !!mpuuzi!!
Hao viongozi wanaokalia kimya uovu na upendeleo wa Bashite ni wanafiki sana, maana ni wao hao hao ndio waliokua wakikemea kuto Keisha kwa uhakiki na Leo hii mwana almasi wa mfalme amekwiba wanajitia kufunga midomo, vitabu vya dini havisemi "udanganyifu ufichwe" vinasema "udanganyifu usemwe ikibidi ukemewe popote"
 
Yeye afanyacho ni kusema ukweli na kuanika wazi kila kitu pia ni somo pia jinsi adui wako anavoaibika pale anapokusingizia uongo, yule ni mwalimu na sisi twajifunza Kwa vitendo,usimtuhumu uongo jirani yako wakati we si msafi.Karibu church jpili ule chakula cha kiroho.
Upo right
 
Mimi kama mkristo, na uelewa wangu mdogo juu ya biblia
Sisi kama binadamu tunapaswa kusamehe 7×70
Na yeyote yule akufanyiae mabaya
Sasa napata shida sana
Ninapoona mtumishi wa Mungu
Anapoendeleza vita na yule anayeamini akumtendea vyema
Kuna haja kwa serikali kuingilia na kuyachunguza haya makanisa na viongozi wake
Baadhi yao wanatia shaka sana
Kama kweli wapo kwa kazi ya Mungu au ni njia ya kujitengenezea kipato
Kupitia watanzania
Ambao kiukweli wengi wao wanaishi katika lindi la matatizo na umaskini mkubwa
Wajanja utumia imani katika kuwaadaa na kuwaibia rasilimali zao ndogo walizonazo
Jamani hii siyo sin. It is a crime. Ya Mungu mpeni Mungu na ya Kaizari mpeni Kaizari.

Jukumu la kufichua maovu katika nchi isiachiwe watu wawili au wachache, ni jukumu la watanzania wote!
 
His behavior has been very unseemly.

A man of the cloth comporting himself like a drama queen.

Shame shame shame.
Sijaelewa hapa, mnasema yaishe au kwamba Gwajima asishughulikie?

Msema ukweli si ndio mpenzi wa Mungu. Au inategemea Nani anayesema huo ukweli, kuhusu nani na ni ukweli gani?

Au kuna ukweli mtakatifu na ule unholy.

Tunaomba mwongozo
 
Fair or not, that doesn't justify him to act the way he is acting if at all that which is being reported is true.

He can't stay above the fray?
Let us be the judge of that. Cha msingi tupate evidence yote.
 
Hii inaitwa @vuta nkuvute,ukichimama nchale,ukikaa nchale,ukikimbia chale,ukilala nchale,ukichuchumaa nchale,ili yaishe,weka vyeti mezani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.

Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?

Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Jf siku hizi kuna Maada za ajabu Sana mimaada ya kijingajingaaaa!
 
Sijaelewa hapa, mnasema yaishe au kwamba Gwajima asishughulikie?

No.

That's not what I'm saying.

I just don't see the need for him to be histrionical and sink that low.

Msema ukweli si ndio mpenzi wa Mungu. Au inategemea Nani anayesema huo ukweli, kuhusu nani na ni ukweli gani?

Au kuna ukweli mtakatifu na ule unholy.

Tunaomba mwongozo

Kama anasema ukweli basi sioni kabisa sababu ya yeye kuleta drama.

Drama za nini sasa? Huo ukweli hauwezi kusimama wenyewe bila drama?

Yaani watu hili suala limewafanya muwe wapuumbavu kabisa.
 
Sasa kama Gwajima ni Msukuma, kama mimi ni Msukuma, na kama Makonda ni Msukuma....

Huyo aliyedai kuwa namkingia kifua Makonda kisa ni kabila langu, ana nini cha kusema kuhusu mimi kulaani mwenendo wa Gwajima ilhali naye ni Msukuma?

Oh wait....Gwajima fanboys logic😀.
Kuna stages za ubaguzi na dhambi ya ubaguzi haiishii sehemu moja.
 
Hapo naona kuna team inafanya kazi usiku na mchana na inajipanga kuja kumsafisha bashite. H

FBI ya bongo hapana chezea
 
Back
Top Bottom