Mnafiki Kwa Mantiki ipi? Hudama ipo Ukingoni Kwa utafiti uliofanya au?Nadhani huyu mtumishi wa Mungu ni mnafiki sana. Nadhani hata huduma yake iko ukingoni.
Mnafiki Kwa Mantiki ipi? Hudama ipo Ukingoni Kwa utafiti uliofanya au?Nadhani huyu mtumishi wa Mungu ni mnafiki sana. Nadhani hata huduma yake iko ukingoni.
Yani Gwajima inabidi aongeze moto kama katiwa pilipili na ndimu kama wali take advantage ya kuwa yeye ni mtumishi Wa Mungu basi wamfanye any how na yeye anyamaze na kusamehe
Sasa amkomeshe Mr Zero, ili siku nyingine wawe wanajipanga kisawasawa before kum attack mtu
Unfortunately tunaongelea vitu viwili tofauti, Gwajima whether ni muuzaji Wa ganda au sio muuzaji am nt interested on that...Dada, (kwa sababu ya avataor kama ni ME nisamehe).
Hili jambo usifikilie kuwa Gwajima kwa kusema hayo na kuleta watu na wazee ukadhani yuko salama , na usione polisi imemuacha kuhusu sembe ya sumu ukafurahia , serikali inamacho makali sana na siku akikamatwa utashangaa sana.
Kuna siku hutaa kaaa kamwe uamini tena mtu wa dini yoyote ile.
Naamini unaelewa ninachosema hapo juu.
"Time is a good Teacher"
Acha pic iendelee....yy si alisema katumwa na Mungu kuwaumbua na kuwasema watu wanatumia madawa....wacha watu wajue ukwel....mnafki ni mbaya kuliko shetaniNajua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Unfortunately tunaongelea vitu viwili tofauti, Gwajima whether ni muuzaji Wa ganda au sio muuzaji am nt interested on that...
Serikali whether inataka kumdhuru Gwajima au haitaki kumdhuru am nt interested either...
My only concern ni kwamba ana evidence za kutosha kuwa madereva ni Mr Zero na ni Jambazi Wa vyeti,bhasiiiiiii that's it
Kuwa Mr Zero kapata kiboko yake coz anajifanya much know sana,ila kwa Gwajima amewatoa jasho la kutosha,Hadi Makomeo moja haikai mbili haikai,anawaza tu jinsi ya kupoteza evidence zote
Otherwise mi ni KE
Tulia aweke ukweli hadharani. Acha na Gwajima amtuhumu Bashite kuwa ana vyeti feki.Huyu Gwajima kwa hakika ukiwa na sense 6 hutashindwa kuelewa ni mpiga deal tu, na Lazima underground ana deal na mambo mengi ya kishenzi, Mchungaji unafuatilia vyeti Vya MTU kisha unavitumia kama rungu ili usishughulikiwa au kumnyamazisha aliye kinyume chako kisha hao nguruwe wake wanasema amina!!!! Mchungaji unaweka masharti uombwe radhi, mchungaji gani wewe unayevizia watu. Umeitwa umehojiwa umeachiwa huru kisha unaanza kupambana na mamlaka, mshenzi!!!! Inaongoza vipofu na wote mtatumbukia shimoni
Ahahaha watu banaMnafiki kuliko Bashite? Au Maharage?
kama mch anavyoyaweka wazi kuepusha unafikiMungu ni mkuu na muweza wa yote.....yeye huweka mambo yote wazi.
Tehe tehe teheWewe ulie samehe una Kondoo wangapi?
Kwi kwi kwikama mch anavyoyaweka wazi kuepusha unafiki
Tehe tehe tehe kamwaga mboga na yeye anamwaga ugali....washinde njaa woteAcha pic iendelee....yy si alisema katumwa na Mungu kuwaumbua na kuwasema watu wanatumia madawa....wacha watu wajue ukwel....mnafki ni mbaya kuliko shetani