Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Haaahaaaa akupigae shavu LA kushoto MPE apige na LA kulia

Hiyo ilikua enzi za mkoloni

Saizi in bampa tu bampa

Ukimwaga ugali sie twamaga mboga
 
Sijaona kama anatoa neno kwa kondoo wake ni umbeya
 
Acha uongo wewe, unasema leaders are not made? Are you sure? Do you know what does made mean? Philosophy haisomwi nusunusu mkuu!

Acha kutumia nguvu kubwa sana kujitetea kwa hoja nyembamba ! Nichambulie hiyo philosophy yako ili utetee hoja yako Acha kuniletea vitu nusunusu
 
Nchi yetu haiwezi kuwa na laana hata chembe! Naona ni wewe maana kimtokacho mtu ndiyo alivyo
Kua na watu wenye fikra finyu katika nchi yaweza kua ni sehemu ya laana. Mtu kua na cheti cha mtu mwingine (kama uzi hu unavyo jielekeza) sio jambo la ajabu. Mimi nina vyeti na CV za watu wengi tu, Wahasibu na fani nyingi tu, ninakua navyo ili nikisikia sehemu ninayo fanyia kazi wana nafasi basi iwe rahisi mimi kuwaombea haraka. SO Gwajima kua na cheti cha Makonda kuna cha AJABU gani? Mnapoleta HOJA za kizembe kama hizi mnatufanya na sisi tuonekane Waji.nga kwa kuuliza maswali ya kiji.nga! Hakuna cha ajabu mtu kuwa na vyeti vya mtu mwingine ambaye yupo benchi anatafuta kazi.
 
Habar ya mujini sio mke wake..ooh sijui ni mrund.hapana mimi ndio nimesikia kwake lkn habar ya mujini ni vyetii mbona halizungumzii inawezekana ni kweli wamemshika pabaya mpaka kulia wakat alikua ana ujasiri wa kuubiri kama Mwl Mwakasege
 
Acha kutumia nguvu kubwa sana kujitetea kwa hoja nyembamba ! Nichambulie hiyo philosophy yako ili utetee hoja yako Acha kuniletea vitu nusunusu
Vipi Mkuu huyu mwanafalsa alishafanya uchambuzi yakinifu?
 
Nyakati zinakimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…