Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Uhusiano uliopo ni kudhihirisha kuwa huyu Paul Makonda a.k.a Daudi Bashite ni muhalifu wa taaluma ambaye anajificha nyuma ya kichaka cha" madawa ya kulevya "

Najaribu kkuelewa mkuu japo swala la Zero ya Bw.Daudi haihusiani hapa! Maana tunao wabunge wengi tu wa darasa la saba vinginevyo Gwajima asimame kutueleza waumini wake yakuwa ile zero ya form 4 inamfanya Bw. Daudi kutokuwa na akili timamu hivyo kashfa juu yake imetolewa na mwenda wazimu! Wote tunafaham a leader is born not made ! Si mnaona Hata Lipumba uozo anao fanya na shule yake nzur tu.
 
Basi twende kanisani kwake kabisa
[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Hii issue ya Bashite nahisi hata Mchungaji inampa faida kubwa kwa njia ya Sadaka. Maana Jumapili watu wanajazana ili kusikia atasema nini juu ya Bashite.
 
Ukikutwa nayo hakuna dhamana unashikiliwa,yeye yuko huru aliemtuhumu kathibitisha hilo ndo maana yuko huru,sasa tuhuma zimemgeukia ni jukumu lake kuthibitishia umma sasa kuhusu vyeti,Raha ya draft linachezwa kotekote.

Kwaiyo unaunga mkono kiongozi wa dini kuleta michambo Kanisani sehemu takatifu?[emoji38] sijakataa kumzungumzia kanisani but kwa michambo ya bwana Gwajima utadhani maneno kaandikiwa na Mange kimambi duuuh ni balaa! Jamani wakati tunamtetea Gwajima kwa anayo yafanya tusisahau kuwa huyu ni kiongozi wa dini so tumshauri pia asijifananishe na wanasiasa hizi drama zitamharibia zaidi
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Hii issue ya Bashite nahisi hata Mchungaji inampa faida kubwa kwa njia ya Sadaka. Maana Jumapili watu wanajazana ili kusikia atasema nini juu ya Bashite.
Hahahaaa
 
Hiyo kazi ya kuthibitisha tuhuma za kuhusika ama kutokuhusika kwa Gwajima na madawa ya kulevya ni huyo aliyemtuhumu.
Sasa twambie wewe huyo mtu ambaye wewe unadai Gwajima amlete ili kuthibitisha kutokuhusika kwake na madawa ya kulevya ni nani na atoke wapi labda.

Mtu wa kumtetea Gwajima hayupo zaidi ya yeye mwenyew kusimama kwa kujiamini kwa usafi na utakatifu wake nasio kuleta maneno ya Khanga katika nyumba Za Ibada.

Naomba nieleweke: Bwana Daudi aweke vyeti mezani hata Mimi pia navisubiri lakini hii sio kazi ya Gwajima!
 
Kwaiyo unaunga mkono kiongozi wa dini kuleta michambo Kanisani sehemu takatifu?[emoji38] sijakataa kumzungumzia kanisani but kwa michambo ya bwana Gwajima utadhani maneno kaandikiwa na Mange kimambi duuuh ni balaa! Jamani wakati tunamtetea Gwajima kwa anayo yafanya tusisahau kuwa huyu ni kiongozi wa dini so tumshauri pia asijifananishe na wanasiasa hizi drama zitamharibia zaidi
Kuna tofauti kubwa katika ya michambo na kusema ukweli,labda iwe ni kosa kusema ukweli Jamaa sio mnafiki anasema kweli kuhusu chanzo cha chuki dhidi yake.
 
Najaribu kkuelewa mkuu japo swala la Zero ya Bw.Daudi haihusiani hapa! Maana tunao wabunge wengi tu wa darasa la saba vinginevyo Gwajima asimame kutueleza waumini wake yakuwa ile zero ya form 4 inamfanya Bw. Daudi kutokuwa na akili timamu hivyo kashfa juu yake imetolewa na mwenda wazimu! Wote tunafaham a leader is born not made ! Si mnaona Hata Lipumba uozo anao fanya na shule yake nzur tu.
Tafadhali kuwa mjanja kama avatar yako inavyoashiria.
Elewa kuwa hoja iliyopo mezani ni kughushi ( forgery & impersonation)
Baada ya kupata sifuri mtihani wa form IV DAUDI BASHITE akaamua kutumia vyeti vya PAUL MAKONDA
aliyefaulu kidato cha IV
 
Nakwambia awamu hii ...,ngondo ipo !
Kukomoana toka mtawala mpaka watawaliwa !
Miaka 10 ,nimegundua kumbe ni mingi sana ....
 
Tafadhali kuwa mjanja kama avatar yako inavyoashiria.
Elewa kuwa hoja iliyopo mezani ni kughushi ( forgery & impersonation)
Baada ya kupata sifuri mtihani wa form IV DAUDI BASHITE akaamua kutumia vyeti vya PAUL MAKONDA
aliyefaulu kidato cha IV

Sawa mkuu [emoji23][emoji23]
 
Haimaanishi mch kazi yake ni kukaa kanisani tu na si kweli akiikosoa serikali ni dhambi anaweza akawa na mapungufu yake kama binadamu lakini ktk kuikosoa serikali yuko sahihi mbali na uchungaji wake yeye ni raiya wa Tz ana haki yakukosoa yale yasiyo sawa. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
 
Vita dhidi ya MADAWA YA KULEVYA imepata watu wa kuipotosha na kuipinga ....
 
Tafadhali kuwa mjanja kama avatar yako inavyoashiria.
Elewa kuwa hoja iliyopo mezani ni kughushi ( forgery & impersonation)
Baada ya kupata sifuri mtihani wa form IV DAUDI BASHITE akaamua kutumia vyeti vya PAUL MAKONDA
aliyefaulu kidato cha IV

Wengi wenye mawazo kama yako ni walevi wa viroba ambavyo vina athari kwenye afya ya mtumiaji ikiwemo matatizo ya akili, kama wewe. Km umeandika "akaamua kutumiavyeti vya ... aliyefaulu kidato cha nne". Je, huyo aliyefaulu kidato cha nne hakupenda kuendelea na masomo hadi atoe cheti chake kwa mtu mwingine? Kama aliendelea na masomo, ametumia majina gani?

Huwezi kujibu hayo maswali kwa kuwa tayari una matatizo ya akili.
 
Asante nami nimeliona hili naamini Pastor GWAJIMA atazingatia hii......nikweli kijana amekosea Mkubwa aonyeshe Mfano wa Kusamehe.....
Kisasi sijuu yetu....
Yaani nyinyi mnataka mtumishi wa bwana awe mnafiki na mficha ukweli?
 
Wengi wenye mawazo kama yako ni walevi wa viroba ambavyo vina athari kwenye afya ya mtumiaji ikiwemo matatizo ya akili, kama wewe. Km umeandika "akaamua kutumiavyeti vya ... aliyefaulu kidato cha nne". Je, huyo aliyefaulu kidato cha nne hakupenda kuendelea na masomo hadi atoe cheti chake kwa mtu mwingine? Kama aliendelea na masomo, ametumia majina gani?

Huwezi kujibu hayo maswali kwa kuwa tayari una matatizo ya akili.
Kwani wote tuliofaulu kidato cha 4 tuliendelea na high level? Usijikaririshe, sababu zipo nyingi na sio kazi yetu. Mwacheni mtumishi ang'oe mapepo
 
Ujana utakuponza na unaweza kuyaandika hayo tu nyuma ya kryboard na ID fake. Nakushauru ujimuvuzishe mapema kwake mchungaji utolewe mapepo.
 
Back
Top Bottom