Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Kama tuhuma zake hazina msingi mbona mnahangaika?
Hatuwezi kuongozwa na watu wasio na uadilifu.
Mwambieni alete vyeti hapa. Vingnevyo tutazidi kuamini kuwa yeye ni kil.aza tu.
Mamlaka my foot.
Unahangaika tu humu wakati mwenzio anaendelea na ukuu wake wa mkoa
 
ukweli

Daudi bashite aweke vyeti hadharani hapo no excuse.

ila kudai pia mkewe si raia hapo sasa tumevuka mpka.

sijawahi ona kiongozi mkubwa akilia ila ukiguswa ur family real is touching.

binafsi naona vyeti vya bashite viishie kwa bashite, tusimwingize pia mkewe.
 
Hilo la uraia wa mkewe kalichomekea ili kuzuga au kupotezea hili la cheti.
 
ukweli

Daudi bashite aweke vyeti hadharani hapo no excuse.

ila kudai pia mkewe si raia hapo sasa tumevuka mpka.

sijawahi ona kiongozi mkubwa akilia ila ukiguswa ur family real is touching.

binafsi naona vyeti vya bashite viishie kwa bashite, tusimwingize pia mkewe.

Yawezekana siyo RAIA kwani nani ameongea kuhusu mkewe??

Daudi Bashite ndiye aliyeongea kuhusu mkewe hivyo yawezekana siyo RAIA.

Baada ya vita vya vyeti yawezekana kuna ugomvi ndnao ya ndoa yake akachomekea hiyo.

Ila ajue tuhuma zinaumiza familia aache kutuhumu watu barabarani. Sasa yeye ni kweli amenunua cheti na ameumia hivyo je wenzake aliowatuhumu.madawa??Waswahili husema mkuki kwa nguruwe tu....

Kazi anayo.
 
ukweli

Daudi bashite aweke vyeti hadharani hapo no excuse.

ila kudai pia mkewe si raia hapo sasa tumevuka mpka.

sijawahi ona kiongozi mkubwa akilia ila ukiguswa ur family real is touching.

binafsi naona vyeti vya bashite viishie kwa bashite, tusimwingize pia mkewe.
Nadhani amelia baada ya kupandwa na mzuka wa neno la Mungu. Alikuwa anakaribia kunena kwa lugha
 
Unahangaika tu humu wakati mwenzio anaendelea na ukuu wake wa mkoa
Uko sahihi mkuu. We na mimi tunahangaika tu hapa wakati wenzetu wanaendelea kula maisha.
Lakini Bashite lazima aoneshe vyeti vyake mkuu ili kuhaika kwetu kukome.
 
sijawahi ona mtu anamnanga mkewe zaidi ya kumsifia kuwa ni mvumilivu,we mara kajala mara masogange mara wema,watu wanataka vyeti ttw
 
ukweli

Daudi bashite aweke vyeti hadharani hapo no excuse.

ila kudai pia mkewe si raia hapo sasa tumevuka mpka.

sijawahi ona kiongozi mkubwa akilia ila ukiguswa ur family real is touching.

binafsi naona vyeti vya bashite viishie kwa bashite, tusimwingize pia mkewe.
Kweli I see
 
b1ed34ef6acc51ea1e21a85387f63271.jpg
 
Vyeti vya kidato cha nne Div 0 vinatolewa na taasisi gani?
Ni Results slip ya Daudi Zero hiyo ambayo kwa waswahili wanaiita "cheti" pia. Ni karatasi yenye matokeo ya kidato cha 4 ya D. Bashite.

Daudi hachomoi hii. Kwa mwenye kutaka kujiridhisha, enenda Baraza la mitihani la Taifa, watakupatia hiyo karatasi ya matokeo. Kule kumbukumbu zipo.
 
Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?

Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?

Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.

A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.

Lawwd hammercy!!
Nyani Ngabu vipi?
Ukuta au ukata? Umebadili msimamo? Au ulitaka mchungaji auachie ili kondoo zipate harufu?

Link Mfanano wa UKUTA na Gwajima
 
Najaribu kkuelewa mkuu japo swala la Zero ya Bw.Daudi haihusiani hapa! Maana tunao wabunge wengi tu wa darasa la saba vinginevyo Gwajima asimame kutueleza waumini wake yakuwa ile zero ya form 4 inamfanya Bw. Daudi kutokuwa na akili timamu hivyo kashfa juu yake imetolewa na mwenda wazimu! Wote tunafaham a leader is born not made ! Si mnaona Hata Lipumba uozo anao fanya na shule yake nzur tu.
Acha uongo wewe, unasema leaders are not made? Are you sure? Do you know what does made mean? Philosophy haisomwi nusunusu mkuu!
 
Ni Results slip ya Daudi Zero hiyo ambayo kwa waswahili wanaiita "cheti" pia. Ni karatasi yenye matokeo ya kidato cha 4 ya D. Bashite.

Daudi hachomoi hii. Kwa mwenye kutaka kujiridhisha, enenda Baraza la mitihani la Taifa, watakupatia hiyo karatasi ya matokeo. Kule kumbukumbu zipo.

Siyo D ni F F F F F F F F F ZOTE Div 0
 
Back
Top Bottom