Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Yaani nakumbuka enzi zile nimefiwa na mama yangu mkubwa huyu jamaa tunaenda pale anatwambia tuite jina lake atafufuka tukimuita mama mkubwa tumuite na Amina Chifupa mpakaleo hakuna kitu.

Simpendi hata kidogo
Na wewe kwa akili yako ukajua angefufuka?
 
Gwajima halipizi kisasi, anasema ukweli kuhusu uovu wa ndg yetu Bashite, au kusema ukweli ni dhambi?
Kazi anayoifanya Gwajima ni kama alivyo agizwa na vitabu vitakatifu. Mpigeni shetani kwa nguvu zenu zote, akili zenu zote na uwezo wenu wote. Shetani hasa ni nani? Ndio swali la msingi la kujiuliza. Jee twaweza kusema Shetani anakaa Dar, Mwanza au China?
Hapana, Shetani ni uongo, uzinzi, dhuluma nk nk yaani yale matendo yote maovu yasiyo mpendeza Mungu wa kweli. Na atendaye maovu hayo ndiyo shetani mwenyewe.
Makonda aka Bashite, kazusha uongo na uzandiki kwa mtumishi wa Mungu na watu wengine. Kawaharibia maisha yao ili yeye apate faida kisiasa na kiuchumi. HUYO NDIO SHETANI anayepaswa kupigwa kwa nguvu zote na Gwajima anatekeleza maagizo ya kupambana na shetani.
 
Haya yalikuwa mafundisho ya wamishionari kutuandaa kutawaliwa na wakolini... unakumbuka ukiwa hauna kodi walikufanyaje? Mababu zetu walisamehewa? Kunamambo mengine mtoto akililia wembe mpe.
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.

Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?

Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
 
Halafu Mungu anawatumishi wa aina nyingi. Hakuna nabii alikuwa anaogopwa kama Eliya..ukimchezea tu anaagiza moto, Mara simba , kumtumikia Mungu siyo kuwa mjinga mjinga

Ni Kweli ulicho sema! Lakini swala la Kuleta mtu kutoa ushuhuda wa vyeti vya Bashite inahusiana vipi na sakata la madawa ya kulevya? Mimi nilitegemea angeleta mtu kwa mbwembwe zote ambae angeudhihirishia uma/Jamii yakuwa Gwajima sio drug dealer! Hiki anacho kifanya Gwajima hakina tofauti na Kujikwaa mguuni then Plasta ukaenda kufunga mkononi. Japo hata Mimi swala la Mh kuweka vyeti mezani nalipigania pia lakini sio through Gwajima! Tafakari tena
 
Uhusiano uliopo ni kudhihirisha kuwa huyu Paul Makonda a.k.a Daudi Bashite ni muhalifu wa taaluma ambaye anajificha nyuma ya kichaka cha" madawa ya kulevya "
 
Ni Kweli ulicho sema! Lakini swala la Kuleta mtu kutoa ushuhuda wa vyeti vya Bashite inahusiana vipi na sakata la madawa ya kulevya? Mimi nilitegemea angeleta mtu kwa mbwembwe zote ambae angeudhihirishia uma/Jamii yakuwa Gwajima sio drug dealer! Hiki anacho kifanya Gwajima hakina tofauti na Kujikwaa mguuni then Plasta ukaenda kufunga mkononi. Japo hata Mimi swala la Mh kuweka vyeti mezani nalipigania pia lakini sio through Gwajima! Tafakari tena
Hiyo kazi ya kuthibitisha tuhuma za kuhusika ama kutokuhusika kwa Gwajima na madawa ya kulevya ni huyo aliyemtuhumu.
Sasa twambie wewe huyo mtu ambaye wewe unadai Gwajima amlete ili kuthibitisha kutokuhusika kwake na madawa ya kulevya ni nani na atoke wapi labda.
 
Gwajima ni mchungaji lakini huyu anyejiita Bashite ni lazima aanike ukweli.
Kuna vijana wengi wamesoma wapo mtaani,kuna watu wametukanwa vilaza
Huyo Bashite ajitokeze aseme kweli na kama ni mh RC basi mh Raisi ataangalia umuhimu wa kazi yake na si usomi wake
Wazungu wanasema clear the daught
 
Gwajima muhubiri amesema ,'kiburi hutangulia maanguko' Kumbuka Yesu anawatu mengi.
 
Ni Kweli ulicho sema! Lakini swala la Kuleta mtu kutoa ushuhuda wa vyeti vya Bashite inahusiana vipi na sakata la madawa ya kulevya? Mimi nilitegemea angeleta mtu kwa mbwembwe zote ambae angeudhihirishia uma/Jamii yakuwa Gwajima sio drug dealer! Hiki anacho kifanya Gwajima hakina tofauti na Kujikwaa mguuni then Plasta ukaenda kufunga mkononi. Japo hata Mimi swala la Mh kuweka vyeti mezani nalipigania pia lakini sio through Gwajima! Tafakari tena
Ukikutwa nayo hakuna dhamana unashikiliwa,yeye yuko huru aliemtuhumu kathibitisha hilo ndo maana yuko huru,sasa tuhuma zimemgeukia ni jukumu lake kuthibitishia umma sasa kuhusu vyeti,Raha ya draft linachezwa kotekote.
 
Nadhani huyu mtumishi wa Mungu ni mnafiki sana. Nadhani hata huduma yake iko ukingoni.
Usije kuwa kama Daudi , maana hapo ndipo alipo kosea kutuhumu watu bila ushahidi na kujifanya hakimu. Na wewe endelea na uhakimu wako huo

Maana siku hizi hata wendawazimu wamekuwa mahakimu
 
Gwajima issue kama hizi zina mpa kick alikuwa ameshasahaulika sasa kapata promo hawezi acha more attendance more income
 
Siku zote unapokuwa na roho mbaya Mungu huchukia kuliko wanadamu. Unapogundua kuwa umeumiza wengi ukaanza kuomba Mungu akufungulie njia maombi yako hugeuzwa maumivu na kuweka giza nene ili ufe vizuri. Mungu hapendi ukanjanja. Alichomfanyia Pharaoh hatasahau.
 
Gwajima alikosea sana. Hili jambo la mwalimu wa Kolomije hakupaswa kulitangaza.
Angekaa kimya iwe kama surprise na hakika hili lingekuwa pigo takatifu kwa DAB.
Kama ni jeneza basi ungekuwa msumari wa mwisho.
Kwahiyooo
 
Back
Top Bottom