Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Kwa nini unamuwekea maneno mdomoni?hana ubavu hoa hata kutaja aina lake leo hataji atajifanya kama hajui kinachoendelea
Kwa nini unamuwekea maneno mdomoni?hana ubavu hoa hata kutaja aina lake leo hataji atajifanya kama hajui kinachoendelea
Amesharudi uraiani.Mbona nasikia yupo central leo..
AsanteLeaving Certificate na sio living. Pia kuna results slip inaonesha details zote
Yapo ya kusamehe lkn sio la DAUDI BASHITEJamani mwezi uhu ni mwezi wa toba vipi mbona wenzetu hatuwaelewi mbona hamsamei
Hivi ni kuwa na taarifa za mtu au cheti cha mtu? Kwani ni taarifa za mgonjwa mpaka ziwe siri? Hii ni defensive mechanism iso mashiko.Iv kwani siyo kosa kuchukua vyeti vya mtu bila ruhusa ya muhusika?
Vyeti vya nani? Ushawahi kukuona huyo Bashite hata kwa picha Tu? Bashite sio huyo Mkuu wenu.Iv kwani siyo kosa kuchukua vyeti vya mtu bila ruhusa ya muhusika?
Ukisikia neno Bashite linatajwa likemee kwa sababu limebeba pepo linaloitwa "Bashetani"Nimeshafika kanisani
Hata kama Gwajima anavyo, ni vya Daudi Bashite siyo Paul Makonda. Sasa nani atalalamika? Dawood au Pawool? Kolomije hoyeee [emoji120] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Vyeti vya nani? Ushawahi kukuona huyo Bashite hata kwa picha Tu? Bashite sio huyo Mkuu wenu.
Hanaga kifua cha kuhifadhi mamboGwajima alikosea sana. Hili jambo la mwalimu wa Kolomije hakupaswa kulitangaza.
Angekaa kimya iwe kama surprise na hakika hili lingekuwa pigo takatifu kwa DAB.
Kama ni jeneza basi ungekuwa msumari wa mwisho.
Alitoka jana kimya kimya.Mbona nasikia yupo central leo..
Iko wala si kikwazo kwa Gwajima kuongea na familia yakepolisi wamemwambia akiwasimamisha kesho wanabomoa kanisa lake kwani limejengwa barabarani so hakuna cha wazee toka calka me j
Ipo siku utamuamini tu. Kolomije hoyeee!Huyu gwajima naye muongomuongo hivi....sijawahi kuona cheti chenye sifuri
MchungajiNani alisema kutakuwepo na wageni toka kijijini Kolomije??
Subiri leo utapata jibu lakoGwajima a k a Goliath vs Makonda a k a Saudi, nani mshindi