Leaving certificate nayo ni cheti!Awezaje kupata cheti cha Daudi Baťìshe na ili hali daudi alipata ziro na baraza halitowi vyeti kwa waliozingusha.
Ni mashaka ýañgu kuwa laana ya kadinali askofu wa katoliki inamuandamaa
Go away Weasel!
Leaving certificate nayo ni cheti!Awezaje kupata cheti cha Daudi Baťìshe na ili hali daudi alipata ziro na baraza halitowi vyeti kwa waliozingusha.
Ni mashaka ýañgu kuwa laana ya kadinali askofu wa katoliki inamuandamaa
Go away Weasel!
Kuna msukule mmoja unasumbua sana ndo anahauhangaikia leo aumalize huu msukule umetoka Call me J upo huko Dar[emoji83] [emoji196]Kaacha kufufua misukule siku hizi?
Hata living certificate nacho cheti'unapata particular zote muhimu.Hakuna cheti kwa mtu aliyepata Zero, Gwajima anapiga porojo tu na kuna baadhi ya nyumbu wa Mbowe wanaitikia nyimbo yake.
Mkuu tunaomba uende kanisani utupe liveHii ni habari ndogo katika ukurasa wa mbele wa gazeti la TanzaniaDaima la siku ya leo tarehe 05/03/2017.
Tusubiri kitakachojiri.
Sie wa huku CALL ME J tunasubiria vipicha tu hebu tutupiemoNimeshafika kanisani
Leaving Certificate na sio living. Pia kuna results slip inaonesha details zoteHata living certificate nacho cheti'unapata particular zote muhimu.
Tuleteee matangazo mubasharaaaaaaaaNimeshafika kanisani
Alishatoka mkuu.Mna uhakika hayupo Central Police ndani tangu Ijumaa?
Hakuna na hatatokea [emoji196] [emoji216] wa kuvunja KANISA LA BWANA[emoji120]polisi wamemwambia akiwasimamisha kesho wanabomoa kanisa lake kwani limejengwa barabarani so hakuna cha wazee toka calka me j
Ndo maana Mimi lishaacha kwenda kanisani , kama mchungaji yuko hivo , anatundisha nini sasa ,Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?
Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?
Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.
A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.
Lawwd hammercy!!