Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Leo MCH: GWAJIMA atapata nafasi ya kuwasimamisha madhabahuni wageni wake kutoka KOLOMIJE aka "CALL ME J" ili waweze kuweka wazi BASHITE DAUDI Ni nani?
SHIME WOTE TUHUDHURIE[emoji120] [emoji111] [emoji111]

Huyu Mchungaji naona anaendekeza mno ligi. Ajifunze kwa viongozi wengine wa Kiroho ambao wanahubiri kusamehe.

Alimtukana sana Cardinal Pengo, na Cardinal akasamehe ili kuonesha mfano kama kiongozi wa kiroho.
 
anavyo vya bashite,na ni matokeo maana mc D bash alizungusha yai..fa fa fa fa fa
 
Huyu Mchungaji naona anaendekeza mno ligi. Ajifunze kwa viongozi wengine wa Kiroho ambao wanahubiri kusamehe.

Alimtukana sana Cardinal Pengo, na Cardinal akasamehe ili kuonesha mfano kama kiongozi wa kiroho.
Wacha amalizane na BASHITE ibada zipo tu[emoji196]
 
Mchungaji Ana result slip mbona kwenye ile audio yake mwisho ni aliconclude kwakusema. Uzuri siku hizi ukiingia kwenye mtandao naukiwa unahitaji Matokeo ya mtu ni sekunde tuu, mbona hsmtaki kujishughulisha,? Embu ingia kwenye mtandao wa necta ila uweunajua shule Bashite aliyosoma au namba ya hiyo shule na mwaka aliomaliza mbona ni sekunde tuu hata wewe utayaona hayo Matokeo ya division faafaa naukitaka kuyaprint unayaprinti tuu, hii ni simple case nandio maana huyo Bashite wenu domo limekua zito
zamani matokeo yalikua hayatoki kwa majina bali yalikua yanatolewa kwa namba, je gwajima slijua vipi haya ndio matokeo ya makonda wakati yalikua kwa namba tu?
 
zamani matokeo yalikua hayatoki kwa majina bali yalikua yanatolewa kwa namba, je gwajima slijua vipi haya ndio matokeo ya makonda wakati yalikua kwa namba tu?
Unauhakika na unachokiongea? Je, baraza la mitihani nako hakuna majina ya waliofanya mtihan?
 
Leo MCH: GWAJIMA atapata nafasi ya kuwasimamisha madhabahuni wageni wake kutoka KOLOMIJE aka "CALL ME J" ili waweze kuweka wazi BASHITE DAUDI Ni nani?<br />SHIME WOTE TUHUDHURIE[emoji120] [emoji111] [emoji111]
 
Unanitafutia sababu uniburn...
Hunipati[emoji117] [emoji83] [emoji83] Hamisha na unganisha hii
 
Haaahaaaa hawatoweza kuhamisha...vip hayo matangazo najua huwa yanarushwa na radio...nambie ni kituo gani
 
Awezaje kupata cheti cha Daudi Baťìshe na ili hali daudi alipata ziro na baraza halitowi vyeti kwa waliozingusha.
Ni mashaka ýañgu kuwa laana ya kadinali askofu wa katoliki inamuandamaa
Leaving certificate nacho ni cheti!
 
Leo MCH: GWAJIMA atapata nafasi ya kuwasimamisha madhabahuni wageni wake kutoka KOLOMIJE aka "CALL ME J" ili waweze kuweka wazi BASHITE DAUDI Ni nani?<br />SHIME WOTE TUHUDHURIE[emoji120] [emoji111] [emoji111]

Kaacha kufufua misukule siku hizi?
 
Hii ni habari ndogo katika ukurasa wa mbele wa gazeti la TanzaniaDaima la siku ya leo tarehe 05/03/2017.

Tusubiri kitakachojiri.
 
Back
Top Bottom