PreGE2025 Gwajima: Kwa press inayofuata nitaanika watekaji hewani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwamba adui anakuwa amejisahau amestarehe?
Kuna sababu nyingi tu, mkuu. Hebu fikiria maumivu anayopitia mtu anapojua ipo siku atalipizwa kisasa, wala asijue ni siku gani hiyo.

It means kila dakika wewe unaishi kama nguchiro kwa hofu na mashaka - unatamani jamaa afanye afanyacho ili amalize hasira yake.

Ni ngumu sana kuvumilia hali kama hiyo.

Maumivu ya kuingoja hiyo siku ya siku ni makali kuliko hata kisasi chenyewe.
 
Ila maandalizi ya vita yanafanyika wakati wa amani, hvy huo muda anakuwa na nguvu na amejiandaa vya kutosha hata kama atakuwa anaishi kama nguchiro
 
Back
Top Bottom