PreGE2025 Gwajima: Kwa press inayofuata nitaanika watekaji hewani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
CHADEMA kitoe mualiko kwa Gwajima kuja kusikilza kesi ya Lissu kesho.
 
Gwajima naye katumwa kubadilisha upepo. Atakuwa kama makonda aliposema ninataja mapapa wa MADAWA YA KULEVYA akataja viperege. Nadhani Gwajima ni wa kupuuzwa. HANA JIPYA.
Una uhakika kuwa alitaja viperege? yule first son alietajwa ni perege yule?
 
Gwajima anasema sasa hivi ameanza kuongelewa nchi nzima, badala ya watu kujibu kama wamechukua ushauri au lah.

Anasema kwa press inayofuata atakuja na list ya wanaonaofanya vitendo hivyo.
Sasa unawajua ulikuwa unajizungusha zungusha nini si uwataje?
 
Gwajima anasema sasa hivi ameanza kuongelewa nchi nzima, badala ya watu kujibu kama wamechukua ushauri au lah.

Anasema kwa press inayofuata atakuja na list ya wanaonaofanya vitendo hivyo.

Gwajima kusanya ushahidi kisha wapige KICHWANI na List ya watekaji na wanaowatuma.
 
Gwajima anasema sasa hivi ameanza kuongelewa nchi nzima, badala ya watu kujibu kama wamechukua ushauri au lah.

Anasema kwa press inayofuata atakuja na list ya wanaonaofanya vitendo hivyo.
Na huyu jamaa wakiendelea kujibizana naye, atawaanika kweli. Na kama haaamini, wamuulize DAUDI ALBERT BASHITE wa koromije.
 
Back
Top Bottom