Blessed Tajiri
JF-Expert Member
- Dec 16, 2023
- 284
- 870
Chadema mchukueni kwa maana wambea na waongo kama huyu mzee gwajima ndio mnaowapendaGwajima naye katumwa kubadilisha upepo. Atakuwa kama makonda aliposema ninataja mapapa wa MADAWA YA KULEVYA akataja viperege. Nadhani Gwajima ni wa kupuuzwa. HANA JIPYA.
Itakua jambo zuri, wapate cha kumpandishia kizimbaniGwajima anasema sasa hivi ameanza kuongelewa nchi nzima, badala ya watu kujibu kama wamechukua ushauri au lah.
Anasema kwa press inayofuata atakuja na list ya wanaonaofanya vitendo hivyo.
Acha ataje watu,wamdai ushahidi mahakamani,akapige story na lissuAh Sasa mambo ya press ijayo ndo nn tena badala ya kumwaga kila kitu leo leo, mwisho wa siku nae atekwe.
Ndo angetaja leo leo, mambo ya kusubiri press nyngn ndo mambo gn sasaAcha ataje watu,wamdai ushahidi mahakamani,akapige story na lissu
Mkuu, wewe si huwa unasema tuweke akiba ya maneno? Naye kaweka akiba sasa.Ah Sasa mambo ya press ijayo ndo nn tena badala ya kumwaga kila kitu leo leo, mwisho wa siku nae atekwe.
Wapi nmewah kusema tuweke akiba ya maneno?Mkuu, wewe si huwa unasema tuweke akiba ya maneno? Naye kaweka akiba sasa.
Revenge is best served when cold.Wapi nmewah kusema tuweke akiba ya maneno?
Anyway, muda wa kumuua adui wako n ule wakati wa vita na sio kusubiri vita ipoe ndo umuue mana atarudisha nguvu.
Kwamba adui anakuwa amejisahau amestarehe?Revenge is best served when cold.
See?!
Kuna sababu nyingi tu, mkuu. Hebu fikiria maumivu anayopitia mtu anapojua ipo siku atalipizwa kisasa, wala asijue ni siku gani hiyo.Kwamba adui anakuwa amejisahau amestarehe?
Ila maandalizi ya vita yanafanyika wakati wa amani, hvy huo muda anakuwa na nguvu na amejiandaa vya kutosha hata kama atakuwa anaishi kama nguchiroKuna sababu nyingi tu, mkuu. Hebu fikiria maumivu anayopitia mtu anapojua ipo siku atalipizwa kisasa, wala asijue ni siku gani hiyo.
It means kila dakika wewe unaishi kama nguchiro kwa hofu na mashaka - unatamani jamaa afanye afanyacho ili amalize hasira yake.
Ni ngumu sana kuvumilia hali kama hiyo.
Maumivu ya kuingoja hiyo siku ya siku ni makali kuliko hata kisasi chenyewe.
You still miss the point.Ila maandalizi ya vita yanafanyika wakati wa amani, hvy huo muda anakuwa na nguvu na amejiandaa vya kutosha hata kama atakuwa anaishi kama nguchiro
Ashushe muda ndio huuGwajima anasema sasa hivi ameanza kuongelewa nchi nzima, badala ya watu kujibu kama wamechukua ushauri au lah.
Anasema kwa press inayofuata atakuja na list ya wanaonaofanya vitendo hivyo.
Eti badala amwage yote hapa hapa. Kazi iisheAh Sasa mambo ya press ijayo ndo nn tena badala ya kumwaga kila kitu leo leo, mwisho wa siku nae atekwe.