Gwajima: Mfalme mwache avimbe, wewe songambele

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
"....Mfalme hata akivimba wewe mwache avimbe lililo kuu songambele." Askofu Gwajima.

"....muulizeni tuedit maandiko Matakatifu?!" Askofu Gwajima.

"....Corona niliipinga kabla hata ya Ubunge na kamwe sitorudi nyuma." Amesema Askofu Gwajima.
 
Kikao cha jana kiliishajee
 
"....Mfalme hata akivimba wewe mwache avimbe lililo kuu songambele." Askofu Gwajima.

"....muulizeni tuedit maandiko Matakatifu?!" Askofu Gwajima.

"....Corona niliipinga kabla hata ya Ubunge na kamwe sitorudi nyuma." Amesema Askofu Gwajima.
CCM walimlilisha Askofu Rashidi, Kanenepa Kanawiri sasa anawatisha wenyewe
Yaani wanatishwa na Kinyago chao
 
Hahah, kwa hiyo zile episodes za Gwajima ndio zinaanza tena sio?

Huku Gwajiboy, huku Slowslow...
 
Mbona kama anapambana na Rais,
anataka kupimana nguvu au vipi..?
 
"....Mfalme hata akivimba wewe mwache avimbe lililo kuu songambele." Askofu Gwajima.

"....muulizeni tuedit maandiko Matakatifu?!" Askofu Gwajima.

"....Corona niliipinga kabla hata ya Ubunge na kamwe sitorudi nyuma." Amesema Askofu Gwajima.
Huyu jamaa sasa naona kaamuka kula sahani moja na Maza .....!!
 
"....Mfalme hata akivimba wewe mwache avimbe lililo kuu songambele." Askofu Gwajima.

"....muulizeni tuedit maandiko Matakatifu?!" Askofu Gwajima.

"....Corona niliipinga kabla hata ya Ubunge na kamwe sitorudi nyuma." Amesema Askofu Gwajima.
Kasemea wapi acha umbea
 
SEMA BABA ASKOFU wambie Watawala
 
Back
Top Bottom