Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Mtumishi wa Mungu huwa haangushwi,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Choko ilo likigungua una pesa litakufuata pm na picha za makario likiyatingisha mwambie hauna kituUnanijua?! Nikueleze vyitu vyangu ili iweje?
wakiamua kumfilisi ni dk 15 tuGwajiboy tulishakuelewa ndo maana JJ tuliigomea.
Bungeni wewe hujapelekwa njaa maaa vihela vya mboga ulikuwa navyo,vijumba vya kutosha na vigari si haba.
Nilifuatilia mahubiri yake ya Jana Jumapili Online kupitia YouTube channel yake ya rudisha TV mwanzo mwisho..."....Mfalme hata akivimba wewe mwache avimbe lililo kuu songambele." Askofu Gwajima.
"....muulizeni tuedit maandiko Matakatifu?!" Askofu Gwajima.
"....Corona niliipinga kabla hata ya Ubunge na kamwe sitorudi nyuma." Amesema Askofu Gwajima.
🙌🙌🙌🙌🙌Nilifuatilia mahubiri yake ya Jana Jumapili Online kupitia YouTube channel yake ya rudisha TV mwanzo mwisho...
Aliwatumia wafalme wawili wanaotajwa katika Biblia namely;
1. Mfalme Farao [akiwakilisha ufalme wa Giza/shetani] wa Misri VS Mussa [akiwakilisha Mungu Yehova] mkombozi na kiingozi wa taifa teule la Mungu, wana wa Israel waliochukuliwa utumwani kwa miaka 430
2. Mfalme Nebukadneza wa Babel [alama ya shetani] dhidi ya kina Daniel, Shadrack, Meshack & Abednego [waliomwakilisha Mungu Yehova] kupinga nguvu ya shetani ndani ya mfalme
Aliwatumia hawa kama reference ya somo alilofundisha hiyo Jana. Ni kazi ya mwanafunzi kuelewa na kuitumia elimu na maarifa haya kuyahusuanisha na mazingira ya leo ya maisha yake ya kila siku...
Kwa Mkristo yeyote wa kweli, hili lilikuwa somo zuri sana kwa apendaye kupata maarifa ya elimu ya kiroho ya jinsi ulimwengu wa GIZA unavyotenda kazi against ulimwengu wa NURU...
Na HAKIKA na UZURI ni kuwa HUU NDIYO UKWELI HALISI USIOWEZA KUBADILIKA wala KUPINGIKA...!
Tunamaliza mwaka full burudaniHahah, kwa hiyo zile episodes za Gwajima ndio zinaanza tena sio?
Huku Gwajiboy, huku Slowslow...