Uchaguzi 2020 Gwajima moto wa kuotea mbali, aisimamisha Bunju

Uchaguzi 2020 Gwajima moto wa kuotea mbali, aisimamisha Bunju


Hawa watu hata mgombea wa Urais wa CHADEMA alipofika Kawe hakupata watu wengi kama hawa.

Wakuu Kawe imepata mtu sahihi, leo Bunju A imesimama. Hizi picha za asubuhi wakati mkutano haujaanza Bunju A imetapika.

Kwa wale upande wa pili wanaopenda kuedit picha, CCM hatuna kuedit. Pita shule ya msingi Bunju A ujione balaa watu wametapika.

Mama lishe wanamlilia Gwajima
Bodaboda wanamtaka Gwajima
Madereva wanamtaka Gwajima,
Wastaafu wanamtaka Gwajima,
Wavuvi wanamtaka Gwajima
Wafanyabiashara wanamtaka Gwajima

WanaCCM tumeamua kuungana pamoja na kuondoa maslahi Binafsi ili kuhakikisha Gwajima anashinda kwa kishindo

Yule mama mwenye lugha ya matusi watu hata hawataki kumsikia.
 

Attachments

  • IMG-20200914-WA0011.jpg
    IMG-20200914-WA0011.jpg
    63.7 KB · Views: 2
Huyo bwana ana miujiza sana isije kawa kaitoa misukule yake yote anayoifuga ila wanaonekana tu kama raia wa kawaida
 
Tuliona midaladala iliyosheheni watu ikitinga bunju
Kwa sensa ipi uliyofanya ukabiani wakazi wa bunju ni wachache sana. Naona hamtaki kuamni mlichokiona na bado comrade jiandaeni kisaikolojia
 
Hili nalo unataka kubisha[emoji23]? Mbona Msingida anawakamua Sana tu manyumbu huko..!
Kuna maccm kama Polepole yana DHAMBI. Unafunga MIRIJA ya UCHUMI Nchi nzima. Wananchi wanalia NJA.

Wakisema vyuma vimekaza eti unawafunga badala kufungua mirija ya Uchumi.

Huu ujinga wote unafanywa ili uweze kuwaDHIBITI siku ya UCHAGUZI kwa kuwapa buku mbili wajaze viwanja.
 
Inaonyesha wewe n8 mmoja wapo wa lile genge lake la majambazi , Matapeli ma MAKUWADI WAKE wanaombebea wake za watu. Mna laana nyote
 
Back
Top Bottom