Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Gwajima akipita nitawashangaa wana Kawe!!!!!
Jiandae kushangaa tu @ Mkuu maana Gwajima hazuiliki!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gwajima akipita nitawashangaa wana Kawe!!!!!
Ni yupi anashiriki mapenzi ya jinsia moja ?Kuliko anayeshiriki mapenzi ya jinsia moja ?
Na anatumia sadaka na zaka zao kupiga kampeni za siasa!Kabeba waumini wake wote
Swissme
Mdini huyo anataka kugeuza madrasa za watoto wetu kuwa sunday schools.
Hawa watu hata mgombea wa Urais wa CHADEMA alipofika Kawe hakupata watu wengi kama hawa.
Wakuu Kawe imepata mtu sahihi, leo Bunju A imesimama. Hizi picha za asubuhi wakati mkutano haujaanza Bunju A imetapika.
Kwa wale upande wa pili wanaopenda kuedit picha, CCM hatuna kuedit. Pita shule ya msingi Bunju A ujione balaa watu wametapika.
Mama lishe wanamlilia Gwajima
Bodaboda wanamtaka Gwajima
Madereva wanamtaka Gwajima,
Wastaafu wanamtaka Gwajima,
Wavuvi wanamtaka Gwajima
Wafanyabiashara wanamtaka Gwajima
WanaCCM tumeamua kuungana pamoja na kuondoa maslahi Binafsi ili kuhakikisha Gwajima anashinda kwa kishindo
Yule mama mwenye lugha ya matusi watu hata hawataki kumsikia.
Kwani ni bibi mbona anaonekana kijana?.Kawe hatutaki tena matusi ya yule bibi
Hawa woote nliwaona jana wanatoka ibadani na eicher kama 20+ msururu wa bodaboda na mabasi matatu ya kijani wamesombwa kama kifusi
Hawa watu hata mgombea wa Urais wa CHADEMA alipofika Kawe hakupata watu wengi kama hawa.
Wakuu Kawe imepata mtu sahihi, leo Bunju A imesimama. Hizi picha za asubuhi wakati mkutano haujaanza Bunju A imetapika.
Kwa wale upande wa pili wanaopenda kuedit picha, CCM hatuna kuedit. Pita shule ya msingi Bunju A ujione balaa watu wametapika.
Mama lishe wanamlilia Gwajima
Bodaboda wanamtaka Gwajima
Madereva wanamtaka Gwajima,
Wastaafu wanamtaka Gwajima,
Wavuvi wanamtaka Gwajima
Wafanyabiashara wanamtaka Gwajima
WanaCCM tumeamua kuungana pamoja na kuondoa maslahi Binafsi ili kuhakikisha Gwajima anashinda kwa kishindo
Yule mama mwenye lugha ya matusi watu hata hawataki kumsikia.
Ana karama ya kusikilizwa na watu, ana elimu kubwa ya jamii na uwezo mkubwa sana wa kuijenga hoja na kuzitetea hoja zake kisayansiGwajima akili nyingi msikilize kwa makini
Waumini wake hao
Hawa watu hata mgombea wa Urais wa CHADEMA alipofika Kawe hakupata watu wengi kama hawa.
Wakuu Kawe imepata mtu sahihi, leo Bunju A imesimama. Hizi picha za asubuhi wakati mkutano haujaanza Bunju A imetapika.
Kwa wale upande wa pili wanaopenda kuedit picha, CCM hatuna kuedit. Pita shule ya msingi Bunju A ujione balaa watu wametapika.
Mama lishe wanamlilia Gwajima
Bodaboda wanamtaka Gwajima
Madereva wanamtaka Gwajima,
Wastaafu wanamtaka Gwajima,
Wavuvi wanamtaka Gwajima
Wafanyabiashara wanamtaka Gwajima
WanaCCM tumeamua kuungana pamoja na kuondoa maslahi Binafsi ili kuhakikisha Gwajima anashinda kwa kishindo
Yule mama mwenye lugha ya matusi watu hata hawataki kumsikia.
Anawambia atawapeleka marekaniWamejaa kusikiliza mipasho kama mipasho mingine!!
Huyo mcheza filamu za ngono asahau ubunge wa kawe!Labda kama mkuu anampenda sana,amteue awe mwenezi CCM au katibu mkuu CCM!Jiandae kushangaa tu @ Mkuu maana Gwajima hazuiliki!
Hahahahaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna jamaa huku alishaweka kisa cha Raisi mmoja nimesahu nchi gani alienda Urusi warusi wakawatumia madada kumrubuni jamaa alawafu warusi kuna kitu walikua wanahitaj kwa yule raisi wakatishia kutoa mkanda wa ngono aliofanya na wale madada wa kirusi.Jamaa alivo noma akawambia tena ikiwezekana watengeneze kopi nyingi ili akirudi nchin kwake akawagawie kila mwanachi watafurahi. warusi walichoka[emoji3]
Watapata majimbo mawili matatu nchi aliyoongoza Mwalimu Nyerere haiwezi kuongozwa na wakala wa wenye nia mbaya na utajiri aliotupa Mungu.Nimekuambia isikilize pale mwanzo tu. Inasema rais, rais wetu wa mwaka elfu kumi na.... Yaani ni ya 2015. Jamaa kai edit ionekane ni ya Iringa jana. Lakini hakufanya proof reading. Kaumbuka. Yaani wanatufanyia usanii tupu halafu wanataka tuwaamini tuwakabidhi nchi
Huyo mcheza filamu za ngono asahau ubunge wa kawe!Labda kama mkuu anampenda sana,amteue awe mwenezi CCM au katibu mkuu CCM!
Basi Kawe itakuwa na shetani Mahaba, maana mwingine wanasema Leb... ila hajarekodi tu.Mcheza pono anatofauti gani na anti kesi? Wote ni wachafu. Itakuwa ajabu Sana kawe kuwa mbunge mtaalaam wa X
Basi Kawe itakuwa na shetani Mahaba, maana mwingine wanasema Leb... ila hajarekodi tu.
Anachezea atenna za wenzake
Huyo mcheza filamu za ngono asahau ubunge wa kawe!Labda kama mkuu anampenda sana,amteue awe mwenezi CCM au katibu mkuu CCM!
Makonda ambaye ni kada wa CCM atoke hadharani aje aseme kama aliitengeneza au vipi!Si maslahi ya chama kwanza😁😁!Pagumu hapo!!!Wapigakura wengi ni waelewa wanajua kuwa ile ilikuwa kumchafua tu Gwajima kwa kutengeneza!
Halafu Mungu wa Gwajima mkubwa sana maana nasikia wanaotajwa ktk kuitengeza eti yameshaanza kuwapata yale ya hadithi ya “mchimba kisima”
Kuingia mwenyewe [emoji14][emoji14][emoji14]
Duuh kweli mataga mmeishiwa!Ni heri mcheza sinema kuliko huyo sauti ya zege.