Uchaguzi 2020 Gwajima moto wa kuotea mbali, aisimamisha Bunju

Uchaguzi 2020 Gwajima moto wa kuotea mbali, aisimamisha Bunju

Hawa watu hata mgombea wa Urais wa CHADEMA alipofika Kawe hakupata watu wengi kama hawa.

Wakuu Kawe imepata mtu sahihi, leo Bunju A imesimama. Hizi picha za asubuhi wakati mkutano haujaanza Bunju A imetapika.

Kwa wale upande wa pili wanaopenda kuedit picha, CCM hatuna kuedit. Pita shule ya msingi Bunju A ujione balaa watu wametapika.

Mama lishe wanamlilia Gwajima
Bodaboda wanamtaka Gwajima
Madereva wanamtaka Gwajima,
Wastaafu wanamtaka Gwajima,
Wavuvi wanamtaka Gwajima
Wafanyabiashara wanamtaka Gwajima

WanaCCM tumeamua kuungana pamoja na kuondoa maslahi Binafsi ili kuhakikisha Gwajima anashinda kwa kishindo

Yule mama mwenye lugha ya matusi watu hata hawataki kumsikia.
Mdini huyo anataka kugeuza madrasa za watoto wetu kuwa sunday schools.
Amewatapeli waumini nakuanzisha bank Africa
Ana kashfa ya ngono na kutukana viongozi wa dini
Anatembea na mabasi kama manne hivi ya kusomba wa tu moja nilipita njiapanda ya shule jana
 
Hawa watu hata mgombea wa Urais wa CHADEMA alipofika Kawe hakupata watu wengi kama hawa.

Wakuu Kawe imepata mtu sahihi, leo Bunju A imesimama. Hizi picha za asubuhi wakati mkutano haujaanza Bunju A imetapika.

Kwa wale upande wa pili wanaopenda kuedit picha, CCM hatuna kuedit. Pita shule ya msingi Bunju A ujione balaa watu wametapika.

Mama lishe wanamlilia Gwajima
Bodaboda wanamtaka Gwajima
Madereva wanamtaka Gwajima,
Wastaafu wanamtaka Gwajima,
Wavuvi wanamtaka Gwajima
Wafanyabiashara wanamtaka Gwajima

WanaCCM tumeamua kuungana pamoja na kuondoa maslahi Binafsi ili kuhakikisha Gwajima anashinda kwa kishindo

Yule mama mwenye lugha ya matusi watu hata hawataki kumsikia.
Hawa woote nliwaona jana wanatoka ibadani na eicher kama 20+ msururu wa bodaboda na mabasi matatu ya kijani wamesombwa kama kifusi

sasa jiulize waumini wa Gwaji Boy wanaishi Kawe au mnataka kuja kulialia matokeo yakitoka??
 
Hawa watu hata mgombea wa Urais wa CHADEMA alipofika Kawe hakupata watu wengi kama hawa.

Wakuu Kawe imepata mtu sahihi, leo Bunju A imesimama. Hizi picha za asubuhi wakati mkutano haujaanza Bunju A imetapika.

Kwa wale upande wa pili wanaopenda kuedit picha, CCM hatuna kuedit. Pita shule ya msingi Bunju A ujione balaa watu wametapika.

Mama lishe wanamlilia Gwajima
Bodaboda wanamtaka Gwajima
Madereva wanamtaka Gwajima,
Wastaafu wanamtaka Gwajima,
Wavuvi wanamtaka Gwajima
Wafanyabiashara wanamtaka Gwajima

WanaCCM tumeamua kuungana pamoja na kuondoa maslahi Binafsi ili kuhakikisha Gwajima anashinda kwa kishindo

Yule mama mwenye lugha ya matusi watu hata hawataki kumsikia.
Waumini wake hao
 
Kuna jamaa huku alishaweka kisa cha Raisi mmoja nimesahu nchi gani alienda Urusi warusi wakawatumia madada kumrubuni jamaa alawafu warusi kuna kitu walikua wanahitaj kwa yule raisi wakatishia kutoa mkanda wa ngono aliofanya na wale madada wa kirusi.Jamaa alivo noma akawambia tena ikiwezekana watengeneze kopi nyingi ili akirudi nchin kwake akawagawie kila mwanachi watafurahi. warusi walichoka[emoji3]
Hahahahaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ina maana aliwatafuta madada zao na mtego wao ukakwama

Ni sawa na kula hela ya TAKUKURU waliokutegesha, unaichukua wakija ili kuwadake nayo wanakuha hoola
 
Nimekuambia isikilize pale mwanzo tu. Inasema rais, rais wetu wa mwaka elfu kumi na.... Yaani ni ya 2015. Jamaa kai edit ionekane ni ya Iringa jana. Lakini hakufanya proof reading. Kaumbuka. Yaani wanatufanyia usanii tupu halafu wanataka tuwaamini tuwakabidhi nchi
Watapata majimbo mawili matatu nchi aliyoongoza Mwalimu Nyerere haiwezi kuongozwa na wakala wa wenye nia mbaya na utajiri aliotupa Mungu.
 
Mcheza pono anatofauti gani na anti kesi? Wote ni wachafu. Itakuwa ajabu Sana kawe kuwa mbunge mtaalaam wa X
Basi Kawe itakuwa na shetani Mahaba, maana mwingine wanasema Leb... ila hajarekodi tu.
Anachezea atenna za wenzake
 
Basi Kawe itakuwa na shetani Mahaba, maana mwingine wanasema Leb... ila hajarekodi tu.
Anachezea atenna za wenzake

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nimecheka kwa sauti!

Gwajima amefanya kuchafuliwa tu na uzuri ni kuwa dhahabu haibadiliki hata ikipakwa tope!
 
Huyo mcheza filamu za ngono asahau ubunge wa kawe!Labda kama mkuu anampenda sana,amteue awe mwenezi CCM au katibu mkuu CCM!

Wapigakura wengi ni waelewa wanajua kuwa ile ilikuwa kumchafua tu Gwajima kwa kutengeneza!
Halafu Mungu wa Gwajima mkubwa sana maana nasikia wanaotajwa ktk kuitengeza eti yameshaanza kuwapata yale ya hadithi ya “mchimba kisima”

Kuingia mwenyewe [emoji14][emoji14][emoji14]
 
Makonda ambaye ni kada wa CCM atoke hadharani aje aseme kama aliitengeneza au vipi!Si maslahi ya chama kwanza😁😁!Pagumu hapo!!!
 
Back
Top Bottom