Gwajima na Heche mmechelewa, Watanzania ndio waamuzi kwa sasa

Irene17

Member
Joined
Feb 8, 2025
Posts
42
Reaction score
116
Katika kipindi hiki si jambo la kushangaza kuona wanasiasa wakijaribu kujipatia umaarufu kupitia propaganda, hofu na siasa za mihemko. Kauli za John Heche na Josephat Gwajima zinaangukia hapa. Gwajima ambaye kipindi chake cha ubunge kinamalizika ameanza kutafuta umaarufu mwepesi baada ya kushindwa kutimiza ahadi alizozitoa kwa wananchi wa Kawe. Heche naye anashabikia kila hoja kwasababu kwa sasa CHADEMA haina maono wala uelekeo. Chukueni mambo haya muhimu;

1.Mabadiliko katika vyombo vya ulinzi ni jambo la kawaida

Katika taasisi yoyote ya kiusalama duniani, mabadiliko ya uongozi ni ya kawaida na hufanywa pale panapohitajika, kulingana na mahitaji ya kitaasisi na si kisiasa. Ni kosa kubwa kudai kuwa mabadiliko hayo yanatokana na kutofautiana kisiasa ni tafsiri nyembamba inayopotosha umma.

2.Tutoe ushirikiano kwa Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama

Kauli za Gwajima na Heche zinazojaribu kupaka matope vyombo vya Ulinzi na Usalama zinalenga kujenga hisia zisizo halisi. Ukweli ni kwamba, matukio ya uhalifu si jambo linalotokea hapa kwetu pekee. Kwa mfano, Kenya hivi karibuni Mbunge mmoja, mapadri wawili waliuawa kikatili, maandamano ya "Gen Z" yalihusisha vifo vingi na watu kupotea. Marekani ndio imezidi inaongoza kwa visa vya uhalifu, Badala ya kutumia matukio haya kama silaha za kisiasa, tunapaswa kushirikiana kupambana na uhalifu kwa pamoja kama jamii na kutoa ushirikiano kwa vyombo vyetu.

3.Si sahihi kuchukulia kila tukio kama agenda ya kisiasa

Propaganda ya kutumia matukio ya kihalifu kama hoja ya kupambana na serikali ni hatari kwa usalama wa taifa letu. Vyombo vya dola vinafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha usalama wa Watanzania, na havipaswi kubezwa kwa propaganda za uchaguzi. Leo Gwajima unaamka zako unaendesha gari ya Milioni 400 na baadae unaipaki nje ukiwa na amani wala huna hofu yoyote.

4.Tunapokaribia uchaguzi, tunajua siasa za hofu zitaongezeka

Wakati huu wa kuelekea uchaguzi, Watanzania tunapaswa kuwa makini. Kauli za hofu na tuhuma nzito zisizo na ukweli ni silaha za wanasiasa wanaoogopa sanduku la kura. Kama Gwajima na Heche wana hoja za msingi, wazipeleke kwenye vyombo vinavyohusika, si kwenye majukwaa ya kutafuta huruma za kisiasa.

Tanzania ni nchi huru yenye taasisi imara. Rais Samia Suluhu Hassan amejidhihirisha kuwa kiongozi wa amani, maendeleo na ustahimilivu. Si wakati wa kukubali siasa za matusi na mihemko kutugawa kama taifa. Badala ya kupanda mbegu za hofu, tuungane kuijenga Tanzania kwa hoja, ukweli na heshima ya taasisi. Watanzania tusikubali kupumbazwa, siasa safi ni zile za hoja, si za kejeli, hofu na propaganda.
 
Watanzania gañi hao unaowazungumzia??? Maana mimi niliye na akili timamu nilimwelewa gwajima! TANZANIA TUTAZIDI KUWA MASIKINI KWA SABABU YA NJAA YA WATU WACHACHE AMBAO WAPO TIYARI KUTETEA UPUMBAVU KWA SABABU YA MATUMBO YAO! Ni aibu kubwa sana! Kimsingi wananchi wamewakataa CCM kinachofanyika kwa sasa ni kutapatapa tu kusubiri kukata roho tu! Kama mtu hajaielewa hotuba ya gwajima inabidi akapimwe afya ya akili!
 
hivi watu wengine huwa mnatumia nini kutafakri?
sio ajabu mnatumia makalio yenu kuwaza
sasa hayo ya akina Heche wewe yanakuwashia nini?
 
Katika kipindi hiki si jambo la kushangaza kuona wanasiasa wakijaribu kujipatia umaarufu kupitia propaganda, hofu na siasa za mihemko. Kauli za John Heche na Josephat Gwajima zinaangukia hapa. Gwajima ambaye kipindi chake cha ubunge kinamalizika ameanza kutafuta umaarufu mwepesi baada ya kushindwa kutimiza ahadi alizozitoa kwa wananchi wa Kawe. Heche naye anashabikia kila hoja kwasababu kwa sasa CHADEMA haina maono wala uelekeo. Chukueni mambo haya muhimu; 1.Mabadiliko katika vyombo vya ulinzi ni jambo la kawaida Katika taasisi yoyote ya kiusalama duniani, mabadiliko ya uongozi ni ya kawaida na hufanywa pale panapohitajika, kulingana na mahitaji ya kitaasisi na si kisiasa. Ni kosa kubwa kudai kuwa mabadiliko hayo yanatokana na kutofautiana kisiasa ni tafsiri nyembamba inayopotosha umma. 2.Tutoe ushirikiano kwa Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama Kauli za Gwajima na Heche zinazojaribu kupaka matope vyombo vya Ulinzi na Usalama zinalenga kujenga hisia zisizo halisi. Ukweli ni kwamba, matukio ya uhalifu si jambo linalotokea hapa kwetu pekee. Kwa mfano, Kenya hivi karibuni Mbunge mmoja, mapadri wawili waliuawa kikatili, maandamano ya "Gen Z" yalihusisha vifo vingi na watu kupotea. Marekani ndio imezidi inaongoza kwa visa vya uhalifu, Badala ya kutumia matukio haya kama silaha za kisiasa, tunapaswa kushirikiana kupambana na uhalifu kwa pamoja kama jamii na kutoa ushirikiano kwa vyombo vyetu. 3.Si sahihi kuchukulia kila tukio kama agenda ya kisiasa Propaganda ya kutumia matukio ya kihalifu kama hoja ya kupambana na serikali ni hatari kwa usalama wa taifa letu. Vyombo vya dola vinafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha usalama wa Watanzania, na havipaswi kubezwa kwa propaganda za uchaguzi. Leo Gwajima unaamka zako unaendesha gari ya Milioni 400 na baadae unaipaki nje ukiwa na amani wala huna hofu yoyote. 4.Tunapokaribia uchaguzi, tunajua siasa za hofu zitaongezeka Wakati huu wa kuelekea uchaguzi, Watanzania tunapaswa kuwa makini. Kauli za hofu na tuhuma nzito zisizo na ukweli ni silaha za wanasiasa wanaoogopa sanduku la kura. Kama Gwajima na Heche wana hoja za msingi, wazipeleke kwenye vyombo vinavyohusika, si kwenye majukwaa ya kutafuta huruma za kisiasa. Tanzania ni nchi huru yenye taasisi imara. Rais Samia Suluhu Hassan amejidhihirisha kuwa kiongozi wa amani, maendeleo na ustahimilivu. Si wakati wa kukubali siasa za matusi na mihemko kutugawa kama taifa. Badala ya kupanda mbegu za hofu, tuungane kuijenga Tanzania kwa hoja, ukweli na heshima ya taasisi. Watanzania tusikubali kupumbazwa, siasa safi ni zile za hoja, si za kejeli, hofu na propaganda.
 
Hii nchi naona namba ya mazezeta ni kubwa sana, sasa wewe na akili zako hapo umeandika nini, sasa mimi kama mtanzania nipo upande wa heche na gwajima,
Njoo na majibu ya hoja za gwajima sio kuleta mambo ya uchaguzi ebo.
Jibu hoja na sio kuleta mafuta ya uchawa. Jibu hoja PERIOD.
 
Hii nchi iwe kama Uganda tu.
Mara ya kwanza naenda Kampala sokoni kule nikajisahau kuzungumzia siasa za mseven. Yule mama aliniangalia akanikanya akaniambia ongelea mambo mengine sio hayo huku kama unajipenda.

Wako bize na business na kutafuta Pesa, siasa wameziachia Vikundi vya watu wachache na maisha yanaenda.

Kwa aina ya raia wetu, kuwapambanisha kisiasa ni kuwalazimisha vitu ambavyo havimo ndani ya mioyo yao.
 
Katika kipindi hiki si jambo la kushangaza kuona wanasiasa wakijaribu kujipatia umaarufu kupitia propaganda, hofu na siasa za mihemko. Kauli za John Heche na Josephat Gwajima zinaangukia hapa. Gwajima ambaye kipindi chake cha ubunge kinamalizika ameanza kutafuta umaarufu mwepesi baada ya kushindwa kutimiza ahadi alizozitoa kwa wananchi wa Kawe. Heche naye anashabikia kila hoja kwasababu kwa sasa CHADEMA haina maono wala uelekeo. Chukueni mambo haya muhimu;

1.Mabadiliko katika vyombo vya ulinzi ni jambo la kawaida

Katika taasisi yoyote ya kiusalama duniani, mabadiliko ya uongozi ni ya kawaida na hufanywa pale panapohitajika, kulingana na mahitaji ya kitaasisi na si kisiasa. Ni kosa kubwa kudai kuwa mabadiliko hayo yanatokana na kutofautiana kisiasa ni tafsiri nyembamba inayopotosha umma.

2.Tutoe ushirikiano kwa Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama

Kauli za Gwajima na Heche zinazojaribu kupaka matope vyombo vya Ulinzi na Usalama zinalenga kujenga hisia zisizo halisi. Ukweli ni kwamba, matukio ya uhalifu si jambo linalotokea hapa kwetu pekee. Kwa mfano, Kenya hivi karibuni Mbunge mmoja, mapadri wawili waliuawa kikatili, maandamano ya "Gen Z" yalihusisha vifo vingi na watu kupotea. Marekani ndio imezidi inaongoza kwa visa vya uhalifu, Badala ya kutumia matukio haya kama silaha za kisiasa, tunapaswa kushirikiana kupambana na uhalifu kwa pamoja kama jamii na kutoa ushirikiano kwa vyombo vyetu.

3.Si sahihi kuchukulia kila tukio kama agenda ya kisiasa

Propaganda ya kutumia matukio ya kihalifu kama hoja ya kupambana na serikali ni hatari kwa usalama wa taifa letu. Vyombo vya dola vinafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha usalama wa Watanzania, na havipaswi kubezwa kwa propaganda za uchaguzi. Leo Gwajima unaamka zako unaendesha gari ya Milioni 400 na baadae unaipaki nje ukiwa na amani wala huna hofu yoyote.

4.Tunapokaribia uchaguzi, tunajua siasa za hofu zitaongezeka

Wakati huu wa kuelekea uchaguzi, Watanzania tunapaswa kuwa makini. Kauli za hofu na tuhuma nzito zisizo na ukweli ni silaha za wanasiasa wanaoogopa sanduku la kura. Kama Gwajima na Heche wana hoja za msingi, wazipeleke kwenye vyombo vinavyohusika, si kwenye majukwaa ya kutafuta huruma za kisiasa.

Tanzania ni nchi huru yenye taasisi imara. Rais Samia Suluhu Hassan amejidhihirisha kuwa kiongozi wa amani, maendeleo na ustahimilivu. Si wakati wa kukubali siasa za matusi na mihemko kutugawa kama taifa. Badala ya kupanda mbegu za hofu, tuungane kuijenga Tanzania kwa hoja, ukweli na heshima ya taasisi. Watanzania tusikubali kupumbazwa, siasa safi ni zile za hoja, si za kejeli, hofu na propaganda.
Mashachanganyikiwa bado tu kuvua nguo,damu za watu unachukulia mchezo mchezo.
 
NRNE...Hii ndio kitu wananchi tunataka,sio mbambamba!
 
Kwa nn wanaopotea na kuuwawa ni wale tu wanaoikosoa serikali? Hilo halijakaa kisiasa?
 
Akili kama hizi ni shida tupu kwa ustawi wa nchi hii, stop reasoning like class 3 dropout
 
Unagogwa ww
 
Kwa kuwa CCM mnajiamini mnakubalika na wananchi, kubalini reforms zifanyike, af wananchi waamue tuone mtashindia wapi. Mnachojua ni kutumia mabavu tu, na kujificha kwenye kivuli cha amani na utulivu wakati watanzania wanazidi kuwa maskini. Kile kizazi cha kudanganywa na kanga, kofia na vitenge vya kijani kimeshapita, kizazi cha sasa ni cha waelewa, so msifikiri mnaweza kuwahadaa wananchi kirahisi rahisi namna hii
 
Katika kipindi hiki si jambo la kushangaza kuona wanasiasa wakijaribu kujipatia umaarufu kupitia propaganda, hofu na siasa za mihemko. Kauli za John Heche na Josephat Gwajima zinaangukia hapa. Gwajima ambaye kipindi chake cha ubunge kinamalizika ameanza kutafuta umaarufu mwepesi baada ya kushindwa kutimiza ahadi alizozitoa kwa wananchi wa Kawe. Heche naye anashabikia kila hoja kwasababu kwa sasa CHADEMA haina maono wala uelekeo. Chukueni mambo haya muhimu;

1.Mabadiliko katika vyombo vya ulinzi ni jambo la kawaida

Katika taasisi yoyote ya kiusalama duniani, mabadiliko ya uongozi ni ya kawaida na hufanywa pale panapohitajika, kulingana na mahitaji ya kitaasisi na si kisiasa. Ni kosa kubwa kudai kuwa mabadiliko hayo yanatokana na kutofautiana kisiasa ni tafsiri nyembamba inayopotosha umma.

2.Tutoe ushirikiano kwa Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama

Kauli za Gwajima na Heche zinazojaribu kupaka matope vyombo vya Ulinzi na Usalama zinalenga kujenga hisia zisizo halisi. Ukweli ni kwamba, matukio ya uhalifu si jambo linalotokea hapa kwetu pekee. Kwa mfano, Kenya hivi karibuni Mbunge mmoja, mapadri wawili waliuawa kikatili, maandamano ya "Gen Z" yalihusisha vifo vingi na watu kupotea. Marekani ndio imezidi inaongoza kwa visa vya uhalifu, Badala ya kutumia matukio haya kama silaha za kisiasa, tunapaswa kushirikiana kupambana na uhalifu kwa pamoja kama jamii na kutoa ushirikiano kwa vyombo vyetu.

3.Si sahihi kuchukulia kila tukio kama agenda ya kisiasa

Propaganda ya kutumia matukio ya kihalifu kama hoja ya kupambana na serikali ni hatari kwa usalama wa taifa letu. Vyombo vya dola vinafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha usalama wa Watanzania, na havipaswi kubezwa kwa propaganda za uchaguzi. Leo Gwajima unaamka zako unaendesha gari ya Milioni 400 na baadae unaipaki nje ukiwa na amani wala huna hofu yoyote.

4.Tunapokaribia uchaguzi, tunajua siasa za hofu zitaongezeka

Wakati huu wa kuelekea uchaguzi, Watanzania tunapaswa kuwa makini. Kauli za hofu na tuhuma nzito zisizo na ukweli ni silaha za wanasiasa wanaoogopa sanduku la kura. Kama Gwajima na Heche wana hoja za msingi, wazipeleke kwenye vyombo vinavyohusika, si kwenye majukwaa ya kutafuta huruma za kisiasa.

Tanzania ni nchi huru yenye taasisi imara. Rais Samia Suluhu Hassan amejidhihirisha kuwa kiongozi wa amani, maendeleo na ustahimilivu. Si wakati wa kukubali siasa za matusi na mihemko kutugawa kama taifa. Badala ya kupanda mbegu za hofu, tuungane kuijenga Tanzania kwa hoja, ukweli na heshima ya taasisi. Watanzania tusikubali kupumbazwa, siasa safi ni zile za hoja, si za kejeli, hofu na propaganda.
Sawa msapot watekaj tumekuelewa endeleeni kuwnywa damuu za watz mkitosheka mseme
 
Chawa wa kike mkioana na Mwanshamba then titantilah awe shemeji bonge moja la combination UJINGA
 
Nyang'au mkubwa, endeleeni kula pesa za bure
 
Back
Top Bottom