Gwajima na Heche mmechelewa, Watanzania ndio waamuzi kwa sasa

Katika kipindi hiki si jambo la kushangaza kuona wanasiasa wakijaribu kujipatia umaarufu kupitia propaganda, hofu na siasa za mihemko. Kauli za John Heche na Josephat Gwajima zinaangukia hapa. Gwajima ambaye kipindi chake cha ubunge kinamalizika ameanza kutafuta umaarufu mwepesi baada ya kushindwa kutimiza ahadi alizozitoa kwa wananchi wa Kawe. Heche naye anashabikia kila hoja kwasababu kwa sasa CHADEMA haina maono wala uelekeo. Chukueni mambo haya muhimu;

1.Mabadiliko katika vyombo vya ulinzi ni jambo la kawaida

Katika taasisi yoyote ya kiusalama duniani, mabadiliko ya uongozi ni ya kawaida na hufanywa pale panapohitajika, kulingana na mahitaji ya kitaasisi na si kisiasa. Ni kosa kubwa kudai kuwa mabadiliko hayo yanatokana na kutofautiana kisiasa ni tafsiri nyembamba inayopotosha umma.

2.Tutoe ushirikiano kwa Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama

Kauli za Gwajima na Heche zinazojaribu kupaka matope vyombo vya Ulinzi na Usalama zinalenga kujenga hisia zisizo halisi. Ukweli ni kwamba, matukio ya uhalifu si jambo linalotokea hapa kwetu pekee. Kwa mfano, Kenya hivi karibuni Mbunge mmoja, mapadri wawili waliuawa kikatili, maandamano ya "Gen Z" yalihusisha vifo vingi na watu kupotea. Marekani ndio imezidi inaongoza kwa visa vya uhalifu, Badala ya kutumia matukio haya kama silaha za kisiasa, tunapaswa kushirikiana kupambana na uhalifu kwa pamoja kama jamii na kutoa ushirikiano kwa vyombo vyetu.

3.Si sahihi kuchukulia kila tukio kama agenda ya kisiasa

Propaganda ya kutumia matukio ya kihalifu kama hoja ya kupambana na serikali ni hatari kwa usalama wa taifa letu. Vyombo vya dola vinafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha usalama wa Watanzania, na havipaswi kubezwa kwa propaganda za uchaguzi. Leo Gwajima unaamka zako unaendesha gari ya Milioni 400 na baadae unaipaki nje ukiwa na amani wala huna hofu yoyote.

4.Tunapokaribia uchaguzi, tunajua siasa za hofu zitaongezeka

Wakati huu wa kuelekea uchaguzi, Watanzania tunapaswa kuwa makini. Kauli za hofu na tuhuma nzito zisizo na ukweli ni silaha za wanasiasa wanaoogopa sanduku la kura. Kama Gwajima na Heche wana hoja za msingi, wazipeleke kwenye vyombo vinavyohusika, si kwenye majukwaa ya kutafuta huruma za kisiasa.

Tanzania ni nchi huru yenye taasisi imara. Rais Samia Suluhu Hassan amejidhihirisha kuwa kiongozi wa amani, maendeleo na ustahimilivu. Si wakati wa kukubali siasa za matusi na mihemko kutugawa kama taifa. Badala ya kupanda mbegu za hofu, tuungane kuijenga Tanzania kwa hoja, ukweli na heshima ya taasisi. Watanzania tusikubali kupumbazwa, siasa safi ni zile za hoja, si za kejeli, hofu na propaganda.
Katika maaskofu waongo, gwajima hatari Sana, kadanganya Wana kawe eti atawanunulia Madera kila mtu, wakampa kura Leo karudi na utekaji.
 
Uko sahihi sana Irene wetu,

Utekaji ni drama tu na kifo ni kifo, uwe umekufa kwa kutobolewa macho, kubinywa pimbu, kuchukuliwa nyumbani na usionekana Tena yote ni kifo kwani tunataka tufe vizuri utafikiri tukifa tunaenda kushiriki mashindano ya kukufa...!

Anaye ratibu zoezi la ukufaji mwambie aongeze Kasi.
Hujui unaloongea weye, endelea kucheza.
 
Wazazi wako wangevaa kondom mjinga kama wewe usingepatikana.
 
Katika kipindi hiki si jambo la kushangaza kuona wanasiasa wakijaribu kujipatia umaarufu kupitia propaganda, hofu na siasa za mihemko. Kauli za John Heche na Josephat Gwajima zinaangukia hapa. Gwajima ambaye kipindi chake cha ubunge kinamalizika ameanza kutafuta umaarufu mwepesi baada ya kushindwa kutimiza ahadi alizozitoa kwa wananchi wa Kawe. Heche naye anashabikia kila hoja kwasababu kwa sasa CHADEMA haina maono wala uelekeo. Chukueni mambo haya muhimu;

1.Mabadiliko katika vyombo vya ulinzi ni jambo la kawaida

Katika taasisi yoyote ya kiusalama duniani, mabadiliko ya uongozi ni ya kawaida na hufanywa pale panapohitajika, kulingana na mahitaji ya kitaasisi na si kisiasa. Ni kosa kubwa kudai kuwa mabadiliko hayo yanatokana na kutofautiana kisiasa ni tafsiri nyembamba inayopotosha umma.

2.Tutoe ushirikiano kwa Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama

Kauli za Gwajima na Heche zinazojaribu kupaka matope vyombo vya Ulinzi na Usalama zinalenga kujenga hisia zisizo halisi. Ukweli ni kwamba, matukio ya uhalifu si jambo linalotokea hapa kwetu pekee. Kwa mfano, Kenya hivi karibuni Mbunge mmoja, mapadri wawili waliuawa kikatili, maandamano ya "Gen Z" yalihusisha vifo vingi na watu kupotea. Marekani ndio imezidi inaongoza kwa visa vya uhalifu, Badala ya kutumia matukio haya kama silaha za kisiasa, tunapaswa kushirikiana kupambana na uhalifu kwa pamoja kama jamii na kutoa ushirikiano kwa vyombo vyetu.

3.Si sahihi kuchukulia kila tukio kama agenda ya kisiasa

Propaganda ya kutumia matukio ya kihalifu kama hoja ya kupambana na serikali ni hatari kwa usalama wa taifa letu. Vyombo vya dola vinafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha usalama wa Watanzania, na havipaswi kubezwa kwa propaganda za uchaguzi. Leo Gwajima unaamka zako unaendesha gari ya Milioni 400 na baadae unaipaki nje ukiwa na amani wala huna hofu yoyote.

4.Tunapokaribia uchaguzi, tunajua siasa za hofu zitaongezeka

Wakati huu wa kuelekea uchaguzi, Watanzania tunapaswa kuwa makini. Kauli za hofu na tuhuma nzito zisizo na ukweli ni silaha za wanasiasa wanaoogopa sanduku la kura. Kama Gwajima na Heche wana hoja za msingi, wazipeleke kwenye vyombo vinavyohusika, si kwenye majukwaa ya kutafuta huruma za kisiasa.

Tanzania ni nchi huru yenye taasisi imara. Rais Samia Suluhu Hassan amejidhihirisha kuwa kiongozi wa amani, maendeleo na ustahimilivu. Si wakati wa kukubali siasa za matusi na mihemko kutugawa kama taifa. Badala ya kupanda mbegu za hofu, tuungane kuijenga Tanzania kwa hoja, ukweli na heshima ya taasisi. Watanzania tusikubali kupumbazwa, siasa safi ni zile za hoja, si za kejeli, hofu na propaganda

Katika kipindi hiki si jambo la kushangaza kuona wanasiasa wakijaribu kujipatia umaarufu kupitia propaganda, hofu na siasa za mihemko. Kauli za John Heche na Josephat Gwajima zinaangukia hapa. Gwajima ambaye kipindi chake cha ubunge kinamalizika ameanza kutafuta umaarufu mwepesi baada ya kushindwa kutimiza ahadi alizozitoa kwa wananchi wa Kawe. Heche naye anashabikia kila hoja kwasababu kwa sasa CHADEMA haina maono wala uelekeo. Chukueni mambo haya muhimu;

1.Mabadiliko katika vyombo vya ulinzi ni jambo la kawaida

Katika taasisi yoyote ya kiusalama duniani, mabadiliko ya uongozi ni ya kawaida na hufanywa pale panapohitajika, kulingana na mahitaji ya kitaasisi na si kisiasa. Ni kosa kubwa kudai kuwa mabadiliko hayo yanatokana na kutofautiana kisiasa ni tafsiri nyembamba inayopotosha umma.

2.Tutoe ushirikiano kwa Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama

Kauli za Gwajima na Heche zinazojaribu kupaka matope vyombo vya Ulinzi na Usalama zinalenga kujenga hisia zisizo halisi. Ukweli ni kwamba, matukio ya uhalifu si jambo linalotokea hapa kwetu pekee. Kwa mfano, Kenya hivi karibuni Mbunge mmoja, mapadri wawili waliuawa kikatili, maandamano ya "Gen Z" yalihusisha vifo vingi na watu kupotea. Marekani ndio imezidi inaongoza kwa visa vya uhalifu, Badala ya kutumia matukio haya kama silaha za kisiasa, tunapaswa kushirikiana kupambana na uhalifu kwa pamoja kama jamii na kutoa ushirikiano kwa vyombo vyetu.

3.Si sahihi kuchukulia kila tukio kama agenda ya kisiasa

Propaganda ya kutumia matukio ya kihalifu kama hoja ya kupambana na serikali ni hatari kwa usalama wa taifa letu. Vyombo vya dola vinafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha usalama wa Watanzania, na havipaswi kubezwa kwa propaganda za uchaguzi. Leo Gwajima unaamka zako unaendesha gari ya Milioni 400 na baadae unaipaki nje ukiwa na amani wala huna hofu yoyote.

4.Tunapokaribia uchaguzi, tunajua siasa za hofu zitaongezeka

Wakati huu wa kuelekea uchaguzi, Watanzania tunapaswa kuwa makini. Kauli za hofu na tuhuma nzito zisizo na ukweli ni silaha za wanasiasa wanaoogopa sanduku la kura. Kama Gwajima na Heche wana hoja za msingi, wazipeleke kwenye vyombo vinavyohusika, si kwenye majukwaa ya kutafuta huruma za kisiasa.

Tanzania ni nchi huru yenye taasisi imara. Rais Samia Suluhu Hassan amejidhihirisha kuwa kiongozi wa amani, maendeleo na ustahimilivu. Si wakati wa kukubali siasa za matusi na mihemko kutugawa kama taifa. Badala ya kupanda mbegu za hofu, tuungane kuijenga Tanzania kwa hoja, ukweli na heshima ya taasisi. Watanzania tusikubali kupumbazwa, siasa safi ni zile za hoja, si za kejeli, hofu na propaganda.
Mimi nilijua utakuja na wazo gani ili kuzuia utekaji
 
Back
Top Bottom