Gwajima, Polepole na Silaa waitwa Kamati ya Maadili ya CCM

Kama JPM ni kimungu chako mfuate shimoni kule Chato.
Hapa tuna Rais anayetawala nchi iitwayo Tanzania.

Sitaki kumfuata!

JPM mashine ile wewe ameacha impact kwenye jamii yetu na vizazi vijavyo!

Tusijisahau wakati wote tufanye yenye kufaa.

Usipolipa kodi stahiki wakati huu badae akija wa kariba ya JPM mtashughilikiwa tu.

Nawashauri watu hata sasa lipeni kodi, epukeni dhuluma, tendeaneni haki.
 
Hapo wa maana ni Slaa,
hao wengine ni wapuuzi especially Askofu kibwetere ambaye aliulizwa ushahidi wa nani kapewa rushwa apigie chapuo Chanjo akabaki anatoa macho kama kaona sadaka zimepungua kwenye godown lake.
Sijui unatumia vigezo na vipimo gani kuhusu hao makomredi watatu ya kuwa "hapo wa maana ni Slaa"? Unamfahamu Slaa vizuri au umeanza kumsikia hapo Bungeni!? Unamfahamu Slaa aliyekuwa Meya wa Jiji au Manispaa ya Ilala? Je ni Slaa huyu huyu aliyekuwa M -NEC au mwingine!? Kwa hayo maswali machache kuhusu nafasi mbalimbali alizoshika Slaa kabla kuwa Mbunge wa Ukonga unaweza kujua au utueleze ni Slaa yupi unayesema ni "wa maana"? Na kwa vigezo vipi?
 
Mnahangaika na nao mbogamboga , waache wauane tu maana ni laana kwa taifa watu wanahangaika maisha yanakuwa magumu wao wanaendelea na sanaa tu, kimsingi wao ni janga kwa taifa la Tanzania
 
Wabunge watatu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwamo Mbunge wa Kuteuliwa, Humpherey Polepole watawekwa kikaangoni leo na Kamati ya Maadili ya Wabunge wa CCM kuhojiwa kuhusu masuala tofauti.

Wabunge wengine watakaohojiwa leo ni Askofu Josephat Gwajima (Kawe) na Jerry Silaa (Ukonga) ambao Bunge lilipitisha azimio la kuwasimamisha kwa mikutano miwili kutokana na tuhuma za kusema uongo, kushusha hadhi na heshima ya Bunge.

Vilevile, Kamati imependekeza Askofu Gwajima kufikishwa mbele ya kamati ya chama chake CCM na kuhojiwa kuhusu mwenendo wake.

Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge ilipendekeza Silaa asimamishwe mikutano miwili ya Bunge la Tanzania na avuliwe uwakilishi kwenye Bunge la Afrika (PAP) kwa madai kuwa anaweza kusema uongo akienda huko.

Kilichomponza Silaa ni kauli yake ya kutaka wabunge wakatwe kodi kwenye mapato yao, jambo lililoelezwa kuwa ni uongo, kwani wabunge wanalipa kodi.

Kwa upande wa Gwajima, atatakiwa kujieleza kuhusu kauli anazozitoa katika Kanisa lake la Ufufuo na Uzima kuanzia Julai 25 mpaka Agosti 15 kuhusu chanjo ya korona.

Akizungumza na gazeti hili jana, Katibu wa Wabunge wa CCM, Rashid Shangazi alisema wametekeleza mapendekezo ya wabunge, akiwamo Spika wa Bunge, Job Ndugai.

Mwananchi
 
Sijui unatumia vigezo na vipimo gani kuhusu hao makomredi watatu ya kuwa "hapo wa maana ni Slaa"? Unamfahamu Slaa vizuri au umeanza kumsikia hapo Bungeni!? Unamfahamu Slaa aliyekuwa Meya wa Jiji au Manispaa ya Ilala? Je ni Slaa huyu huyu aliyekuwa M -NEC au mwingine!? Kwa hayo maswali machache kuhusu nafasi mbalimbali alizoshika Slaa kabla kuwa Mbunge wa Ukonga unaweza kujua au utueleze ni Slaa yupi unayesema ni "wa maana"? Na kwa vigezo vipi?
bossn slaa amesema wabunge akiwemo yeye hawakatwi kodi kwenye baadhi ya malipo wanaolipwa.
Na hili ni kweli wanakatwa kodi kwenye mshahara tu, malipo mengine yote tena makubwa hawakatwi hata senti moja, haya madai yake ni genuine na hata mtoto wako anaweza kuthibitisha akipewa fursa.

So umaana wa Slaa ninaoujadili hapa ni swala la yeye yeye kuwa mkweli kuwa wabunge hawakatwi kodi kwenye malipo yao isipokua kwenye mshahara tu.

Huo umaana mwingine wa Slaa wa Unec sijui Umeya sio hoja ya msingi kwenye swala hili la kuitwa kuhojiwa.
 
Askofu Gwajima ana watu

Polepole ana watu.

Jerry Slaa ana Hoja.
Gwajima+watu+ waumini wake

Pole pole Hana watu, ana mashabiki.Huyu kwenye chama (CCM) yeye na Bashiru hawakuwahi hata kuwa wajumbe wa shina. Alivutwa na marehemu Mwendazake kwa kuwa alikuwa mwanaharakati njaa.

Slaa anatafuta Kiki bila hoja...

Hawa wote hatima na mustakabali wao wa Siasa Ni mwembamba mno. Labda waende upinzani.
 
Kinachowalinda hao wabunge wa CCM, ni wabunge covid 19 waliokua chadema.
 
watendewe haki, tusiwaonee.
wasihukumiwe kwa hisia na mihemuko.
hata kama watakutwa na hatia wasichukuliwe hatua kali kupindukia, endapo watajutia makosa yao basi wapewe tu onyo.
tuendelee kuwatumikia wananchi.
 
Ccm ilipoteza mvuto kwa watu makini ikabaki na wajinga, but Jpm alianza kuwavutia watu makini, Sasa ni hofu yangu itaendelea kubaki na wajinga,
Kumbuka watu wa Gwaji ni wanaccm
Wakina Pole pole,Bashiru,Kabudi,Waitara,Nassari,....nk ndio ingizo la JPm
 
bossn slaa amesema wabunge akiwemo yeye hawakatwi kodi kwenye baadhi ya malipo wanaolipwa.
Na hili ni kweli wanakatwa kodi kwenye mshahara tu, malipo mengine yote tena makubwa hawakatwi hata senti moja, haya madai yake ni genuine na hata mtoto wako anaweza kuthibitisha akipewa fursa.

So umaana wa Slaa ninaoujadili hapa ni swala la yeye yeye kuwa mkweli kuwa wabunge hawakatwi kodi kwenye malipo yao isipokua kwenye mshahara tu.

Huo umaana mwingine wa Slaa wa Unec sijui Umeya sio hoja ya msingi kwenye swala hili la kuitwa kuhojiwa.
Sasa ndiyo umefafanua huo "umaana" wewe unao uona kwa Slaa kwani mwanzo ilikuwa ni blanket conclusion tu!
 
Hapo wa maana ni Slaa, hao wengine ni wapuuzi especially Askofu kibwetere ambaye aliulizwa ushahidi wa nani kapewa rushwa apigie chapuo Chanjo akabaki anatoa macho kama kaona sadaka zimepungua kwenye godown lake.
Koma wewe!

Unamuita aliekuwa mshenga wetu wa kumleta EL chadema kwamba ni kibwetere?
 
Huo uchafu nani anautaka? Muishi nao wenyewe, ni wenu mmeupata kwa ghrama ya damu na dhuruma.
Wewe ni kidagaa tu hujui chochote!

Mbowe na Lisu wakiona haya maoni yako wataumia sana,!

Hujui kuwa chadema nzima ilikuwa inaenda kujaa pale kanisani kwake tena viti vya mbele ili kusikiliza ubuyu wa bashite?

Hujui kuwa huyu ndio alikuwa mshenga wetu wakumleta EL chadema?
 
bossn slaa amesema wabunge akiwemo yeye hawakatwi kodi kwenye baadhi ya malipo wanaolipwa.
Na hili ni kweli wanakatwa kodi kwenye mshahara tu, malipo mengine yote tena makubwa hawakatwi hata senti moja, haya madai yake ni genuine na hata mtoto wako anaweza kuthibitisha akipewa fursa.

So umaana wa Slaa ninaoujadili hapa ni swala la yeye yeye kuwa mkweli kuwa wabunge hawakatwi kodi kwenye malipo yao isipokua kwenye mshahara tu.

Huo umaana mwingine wa Slaa wa Unec sijui Umeya sio hoja ya msingi kwenye swala hili la kuitwa kuhojiwa.
Viongozi wa Tanzania ni wa hovyo sana. Yaani ukipingana na mawazo ya Rais umekuwa mhaini ?!.

Mawazo ya ki communist ambayo hayawezi kusaidia nchi . Bali kuidumaza na kuwa na watu bubu.

Wala si Silaa peke yake, Hussein Bashe pia aliwahi kuiomba Bunge na Rais wakubali kukatwa kodi ili wafanane na wananchi wanaowaongoza.
 
Hussein Bashe naye aliitwa mbele ya hiyo Kamati au ilikuwaje?
 
Koma wewe!

Unamuita aliekuwa mshenga wetu wa kumleta EL chadema kwamba ni kibwetere?
Wakati mnalazimisha kumpa kura za hewa ili awe mbunge hamkujua kuwa anazo elements za kichadema za kumpinga hata Rais ?!. Na jana mama amejibiwa huko Tageta kuwa hawachanji
 
Dodoma. Wabunge watatu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwamo Mbunge wa Kuteuliwa, Humpherey Polepole watawekwa kikaangoni leo na Kamati ya Maadili ya Wabunge wa CCM kuhojiwa kuhusu masuala tofauti.

Wabunge wengine watakaohojiwa leo ni Askofu Josephat Gwajima (Kawe) na Jerry Silaa (Ukonga) ambao Bunge lilipitisha azimio la kuwasimamisha kwa mikutano miwili kutokana na tuhuma za kusema uongo, kushusha hadhi na heshima ya Bunge.

Vilevile, Kamati imependekeza Askofu Gwajima kufikishwa mbele ya kamati ya chama chake CCM na kuhojiwa kuhusu mwenendo wake.

Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge ilipendekeza Silaa asimamishwe mikutano miwili ya Bunge la Tanzania na avuliwe uwakilishi kwenye Bunge la Afrika (PAP) kwa madai kuwa anaweza kusema uongo akienda huko.

Kilichomponza Silaa ni kauli yake ya kutaka wabunge wakatwe kodi kwenye mapato yao, jambo lililoelezwa kuwa ni uongo, kwani wabunge wanalipa kodi.

Kwa upande wa Gwajima, atatakiwa kujieleza kuhusu kauli anazozitoa katika Kanisa lake la Ufufuo na Uzima kuanzia Julai 25 mpaka Agosti 15 kuhusu chanjo ya korona.

Chanzo Mwananchi
Hivi pale kanisani Gwajima alisimama kama mbunge au nani?
 
Back
Top Bottom