Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Kama JPM ni kimungu chako mfuate shimoni kule Chato.
Hapa tuna Rais anayetawala nchi iitwayo Tanzania.
Sijui, hebu eleza!Kwani anatawala au anaongoza?
Unaelewa tofauti iliyopo?
Basi kama ni hivyo na kama CCM wanaubavu mtu wa kwanza kuhojiwa alitakiwa awemwenyekiti wa CCM taifa.Kama JPM alisema chanjo hazifai leo anatokea mtu au watu wanasema zinafaa huko si ni kumpinga JPM? Au siyo?
Sijui unatumia vigezo na vipimo gani kuhusu hao makomredi watatu ya kuwa "hapo wa maana ni Slaa"? Unamfahamu Slaa vizuri au umeanza kumsikia hapo Bungeni!? Unamfahamu Slaa aliyekuwa Meya wa Jiji au Manispaa ya Ilala? Je ni Slaa huyu huyu aliyekuwa M -NEC au mwingine!? Kwa hayo maswali machache kuhusu nafasi mbalimbali alizoshika Slaa kabla kuwa Mbunge wa Ukonga unaweza kujua au utueleze ni Slaa yupi unayesema ni "wa maana"? Na kwa vigezo vipi?Hapo wa maana ni Slaa,
hao wengine ni wapuuzi especially Askofu kibwetere ambaye aliulizwa ushahidi wa nani kapewa rushwa apigie chapuo Chanjo akabaki anatoa macho kama kaona sadaka zimepungua kwenye godown lake.
Gwajiboy kama wananchi vile.Askofu Gwajima ana watu
Polepole ana watu.
Jerry Slaa ana Hoja.
Wote wapuuzi tu.Askofu Gwajima ana watu
Polepole ana watu.
bossn slaa amesema wabunge akiwemo yeye hawakatwi kodi kwenye baadhi ya malipo wanaolipwa.Sijui unatumia vigezo na vipimo gani kuhusu hao makomredi watatu ya kuwa "hapo wa maana ni Slaa"? Unamfahamu Slaa vizuri au umeanza kumsikia hapo Bungeni!? Unamfahamu Slaa aliyekuwa Meya wa Jiji au Manispaa ya Ilala? Je ni Slaa huyu huyu aliyekuwa M -NEC au mwingine!? Kwa hayo maswali machache kuhusu nafasi mbalimbali alizoshika Slaa kabla kuwa Mbunge wa Ukonga unaweza kujua au utueleze ni Slaa yupi unayesema ni "wa maana"? Na kwa vigezo vipi?
Gwajima+watu+ waumini wakeAskofu Gwajima ana watu
Polepole ana watu.
Jerry Slaa ana Hoja.
Wakina Pole pole,Bashiru,Kabudi,Waitara,Nassari,....nk ndio ingizo la JPmCcm ilipoteza mvuto kwa watu makini ikabaki na wajinga, but Jpm alianza kuwavutia watu makini, Sasa ni hofu yangu itaendelea kubaki na wajinga,
Kumbuka watu wa Gwaji ni wanaccm
Sasa ndiyo umefafanua huo "umaana" wewe unao uona kwa Slaa kwani mwanzo ilikuwa ni blanket conclusion tu!bossn slaa amesema wabunge akiwemo yeye hawakatwi kodi kwenye baadhi ya malipo wanaolipwa.
Na hili ni kweli wanakatwa kodi kwenye mshahara tu, malipo mengine yote tena makubwa hawakatwi hata senti moja, haya madai yake ni genuine na hata mtoto wako anaweza kuthibitisha akipewa fursa.
So umaana wa Slaa ninaoujadili hapa ni swala la yeye yeye kuwa mkweli kuwa wabunge hawakatwi kodi kwenye malipo yao isipokua kwenye mshahara tu.
Huo umaana mwingine wa Slaa wa Unec sijui Umeya sio hoja ya msingi kwenye swala hili la kuitwa kuhojiwa.
Koma wewe!Hapo wa maana ni Slaa, hao wengine ni wapuuzi especially Askofu kibwetere ambaye aliulizwa ushahidi wa nani kapewa rushwa apigie chapuo Chanjo akabaki anatoa macho kama kaona sadaka zimepungua kwenye godown lake.
Wewe ni kidagaa tu hujui chochote!Huo uchafu nani anautaka? Muishi nao wenyewe, ni wenu mmeupata kwa ghrama ya damu na dhuruma.
Viongozi wa Tanzania ni wa hovyo sana. Yaani ukipingana na mawazo ya Rais umekuwa mhaini ?!.bossn slaa amesema wabunge akiwemo yeye hawakatwi kodi kwenye baadhi ya malipo wanaolipwa.
Na hili ni kweli wanakatwa kodi kwenye mshahara tu, malipo mengine yote tena makubwa hawakatwi hata senti moja, haya madai yake ni genuine na hata mtoto wako anaweza kuthibitisha akipewa fursa.
So umaana wa Slaa ninaoujadili hapa ni swala la yeye yeye kuwa mkweli kuwa wabunge hawakatwi kodi kwenye malipo yao isipokua kwenye mshahara tu.
Huo umaana mwingine wa Slaa wa Unec sijui Umeya sio hoja ya msingi kwenye swala hili la kuitwa kuhojiwa.
Hussein Bashe naye aliitwa mbele ya hiyo Kamati au ilikuwaje?Viongozi wa Tanzania ni wa hovyo sana. Yaani ukipingana na mawazo ya Rais umekuwa mhaini ?!.
Mawazo ya ki communist ambayo hayawezi kusaidia nchi . Bali kuidumaza na kuwa na watu bubu.
Wala si Silaa peke yake, Hussein Bashe pia aliwahi kuiomba Bunge na Rais wakubali kukatwa kodi ili wafanane na wananchi wanaowaongoza.
Wakati mnalazimisha kumpa kura za hewa ili awe mbunge hamkujua kuwa anazo elements za kichadema za kumpinga hata Rais ?!. Na jana mama amejibiwa huko Tageta kuwa hawachanjiKoma wewe!
Unamuita aliekuwa mshenga wetu wa kumleta EL chadema kwamba ni kibwetere?
Hivi pale kanisani Gwajima alisimama kama mbunge au nani?Dodoma. Wabunge watatu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwamo Mbunge wa Kuteuliwa, Humpherey Polepole watawekwa kikaangoni leo na Kamati ya Maadili ya Wabunge wa CCM kuhojiwa kuhusu masuala tofauti.
Wabunge wengine watakaohojiwa leo ni Askofu Josephat Gwajima (Kawe) na Jerry Silaa (Ukonga) ambao Bunge lilipitisha azimio la kuwasimamisha kwa mikutano miwili kutokana na tuhuma za kusema uongo, kushusha hadhi na heshima ya Bunge.
Vilevile, Kamati imependekeza Askofu Gwajima kufikishwa mbele ya kamati ya chama chake CCM na kuhojiwa kuhusu mwenendo wake.
Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge ilipendekeza Silaa asimamishwe mikutano miwili ya Bunge la Tanzania na avuliwe uwakilishi kwenye Bunge la Afrika (PAP) kwa madai kuwa anaweza kusema uongo akienda huko.
Kilichomponza Silaa ni kauli yake ya kutaka wabunge wakatwe kodi kwenye mapato yao, jambo lililoelezwa kuwa ni uongo, kwani wabunge wanalipa kodi.
Kwa upande wa Gwajima, atatakiwa kujieleza kuhusu kauli anazozitoa katika Kanisa lake la Ufufuo na Uzima kuanzia Julai 25 mpaka Agosti 15 kuhusu chanjo ya korona.
Chanzo Mwananchi