Gwajima wa kanisa la Ufufuo na ving'ora barabarani

popoa mawe kudadaadeki

kuna yule muhishimiwa hata kwa vimada alikuwa anaenda na ving'ora serikal awam 3.pumba.f
 
Kakobe ndio mchungaji wa kweli coz hana makuu...tangia nimjue sijasikia anakaa mbezi beach...wala sijasikia ana humer la kutembelea...alikua na nissan patrol juzi juzi nimesikia waumini wamemnunulia v8 kama zawadi ....na nyumbani kwake ni pale pale kijitonyama..ila tuwatizame kwa undani na kiroho mama rwakatare na gwajima na liusekero jaribu kumfananisha na kakobe utaujua ukweli yeye sio nabii wala papa...ila ni askofu mkuu tu.
 
mkuu
kingsimba
kwani
wachungaji
hawatakiwi
kumiliki
maisha
ya
kifahari?kwa
taarifa
niliyoisikia
kakobe
nw
haishi
tz,anaishi
nje
ya
nchi
na
familia
yake,na
anamiliki
mjengo
wa
maana
kaununua
mwenyewe,
me
nadhan,
tusiangalie
mchungaj
fulan
kafanya
nini,
mtu
afate
njia
anayoona
itamfaa
na
kumfikisha
sehemu
sahihi.
 
sasa wewe uyo tapeli Kakobe anamiliki mjengo wa maana marekani..izo hela za kumiliki mjengo wa maana marekani kazipata kwa kufanya biashara gani??
Na kwa nini akimbilie kuishi marekani asiende kuishi kigoma!!au mungu kamuonyesha??hahahahahaha
 
nilitaka
kumjulisha
kingsimba
anaedai
kakobe
ndio
mchungaji
pekee
wa
ukweli.
 
Ha ha ha haaa..
hii nilikuwa sijaiona natamani irudiwe... hata mm hakuna kitu kinaniudhi kama makelele y alwajbaru... hu hu hu.....
 
Kaaz kwelikweli. Sasa huyu mkulu kama anapenda sifwa na utukufu kwanini asinunue helikopta yake ili at least asiwakwaze wengine wasiohusika?

mbona na nyie msiweke sound proof kwny misikiti yenu, ili msitukwaze na swala zenu zisizotuhusu? mnatukera vilevile na makelele yenu ya azana lakini tunawavumilia. so na nyie mjifunze kutuvumilia na mbwembwe za imani zetu lolest!
 
Mi nahusikaje na misikiti? hoja hujibiwa kwa hoja si vioja/
 
Una hakika???
 
Huyu jaamaa ndie huifadhili ccm kwenye mikutano yake hutoa viti mziki na ndie alie wasaidia polisi na aibu ya Ulimboka ye ndie aliempeleka yule mkenya polisi akidai alikwenda kuungama. ccm watamruhusu huyu afanye anachotaka.
 
Only in Tanzania... kama bodaboda nao wana ving'ora sishangai kuona jamaa naye akiwa na vyake...na mimi nina mpango wa kuagiza vya kwangu guta langu likishatoka bandarini
 
Wengi waliopinga hapa ni wale wa imani ya shehe--ponda!! Ni maskini tu hawa hawataki kuona mafanikio ya mkristo.hammer na ving'ora ni kitu gani mbele ya mtumishi mkubwa kama huyo? Acheni wivu wa kijinga.
 
mbona na nyie msiweke sound proof kwny misikiti yenu, ili msitukwaze na swala zenu zisizotuhusu? mnatukera vilevile na makelele yenu ya azana lakini tunawavumilia. so na nyie mjifunze kutuvumilia na mbwembwe za imani zetu lolest!

uchizi unakunyemelea!
Kuwa makini na mwezi huu mchanga
 
Ha ha ha haaa..
hii nilikuwa sijaiona natamani irudiwe... hata mm hakuna kitu kinaniudhi kama makelele y alwajbaru... hu hu hu.....

mi... Zisizotarajiwa zitakuhusu kwani mwezi mchanga huu na masela wana ukame kweli
 
Me ni mkristu lkn sifagili king'ora chochote zaidi ya fire na ambulance....sasa wakitaka kila kiongozi wa dini apite na king'ora itakuwaje..huko ni kujikweza na Mungu hapendi
 
mi... Zisizotarajiwa zitakuhusu kwani mwezi mchanga huu na masela wana ukame kweli

i hate these ----ing ubishi,huu sio uwanja wa kumjua nan ni nan kuna mantiki gani kuchangia na kukashifiana kiiman,hii kwa wote waliochangia kudis iman nyingine. tusiwe mambulula tusiojua maana ya umoja wa kitaifa,kuna mambo mengi mno ya kufanya kama watanzania wenye nembo 1,kwa maslah ya taifa,tukijidai wapenzi wa masuala ya kuweka utengano tunajichimbia kaburi wenyewe kwenye hii dunia ya ushindani.

muhimu kuelewa hii..

uwe muislamu,mkristo au mpagan kuna kitu tuna share in common ni UMASIKINI, hatuwezi kuushinda kama tutakuwa wazalendo wa iman zetu na si utaifa wetu.

nawasilisha.
 
Manabii Fake wapo kibaooo
Alianza Kakobe akapotEa Tukatupa Kuleeee...
Mama Ruakatale Akapatea Akawa Mbuge..
Sasa Huyooo Anataka Akipotea awe Rais dadeqiii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…