Mandown
JF-Expert Member
- Apr 8, 2012
- 1,665
- 507
WADANGANYIKA fungukeni NANA AWEZE FUFUA MFU!!!!!!!!!!!!kuna zaidi ya hizo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WADANGANYIKA fungukeni NANA AWEZE FUFUA MFU!!!!!!!!!!!!kuna zaidi ya hizo.
mkuu
kingsimba
kwani
wachungaji
hawatakiwi
kumiliki
maisha
ya
kifahari?kwa
taarifa
niliyoisikia
kakobe
nw
haishi
tz,anaishi
nje
ya
nchi
na
familia
yake,na
anamiliki
mjengo
wa
maana
kaununua
mwenyewe,
me
nadhan,
tusiangalie
mchungaj
fulan
kafanya
nini,
mtu
afate
njia
anayoona
itamfaa
na
kumfikisha
sehemu
sahihi.
sasa wewe uyo tapeli Kakobe anamiliki mjengo wa maana marekani..izo hela za kumiliki mjengo wa maana marekani kazipata kwa kufanya biashara gani??
Na kwa nini akimbilie kuishi marekani asiende kuishi kigoma!!au mungu kamuonyesha??hahahahahaha
umekichukia king'ora? au umemchukia alibebwa na ham'ma?
sijaona tatizo, ukiona hivyo si lazima uruhusiwe na mtu
kiongozi wa kiroho ni mkubwa kuliko, kiongozi wa kundi la wezi
hata ana kofia ya kuwa raisi, any way hii ni nchi yetu na wananchi ndiyo sisi,
hata mimi hakuna kitu kinachoniudhi kama makelele ya adhana
Kaaz kwelikweli. Sasa huyu mkulu kama anapenda sifwa na utukufu kwanini asinunue helikopta yake ili at least asiwakwaze wengine wasiohusika?
hiki ni kitu gani? mengine ni makundi ya shetani
Mi nahusikaje na misikiti? hoja hujibiwa kwa hoja si vioja/mbona na nyie msiweke sound proof kwny misikiti yenu, ili msitukwaze na swala zenu zisizotuhusu? mnatukera vilevile na makelele yenu ya azana lakini tunawavumilia. so na nyie mjifunze kutuvumilia na mbwembwe za imani zetu lolest!
Kakobe ndio mchungaji wa kweli coz hana makuu...tangia nimjue sijasikia anakaa mbezi beach...wala sijasikia ana humer la kutembelea...alikua na nissan patrol juzi juzi nimesikia waumini wamemnunulia v8 kama zawadi ....na nyumbani kwake ni pale pale kijitonyama..ila tuwatizame kwa undani na kiroho mama rwakatare na gwajima na liusekero jaribu kumfananisha na kakobe utaujua ukweli yeye sio nabii wala papa...ila ni askofu mkuu tu.
Niko Old Bagamoyo road nasikia ving'ora vinapigwa kutoka kwenye gari inabidi kuweka gari pembeni nikihisi ni Mheshimiwa au mgonjwa anapita nashangaa kuona Hummer nyekundu na msururu wa magari ukipita kwa kasi na hayo magari yamebandikwa Picha ya mheshimiwa askofu anakaribishwa nyumbani.
Sijui huyu bwana karuhusiwa na nani kwa kutupigia ving'ora na kupita kwa kasi kama kiongozi wa nchi. Sasa hata matapeli wanajidai hii nchi sijui tunaenda wapi?
![]()
mbona na nyie msiweke sound proof kwny misikiti yenu, ili msitukwaze na swala zenu zisizotuhusu? mnatukera vilevile na makelele yenu ya azana lakini tunawavumilia. so na nyie mjifunze kutuvumilia na mbwembwe za imani zetu lolest!
Ha ha ha haaa..
hii nilikuwa sijaiona natamani irudiwe... hata mm hakuna kitu kinaniudhi kama makelele y alwajbaru... hu hu hu.....
mi... Zisizotarajiwa zitakuhusu kwani mwezi mchanga huu na masela wana ukame kweli