Gwajima wa kanisa la Ufufuo na ving'ora barabarani

nini cha ajabu hata wewe waweza ukitaka.mwamini MUNGU yote yawezekana.jifikirie ulivyo.Mungu alifanya kazi ya ajabu sana kutuumba.hilo la kufufua wafu ni jepesi sana ukiwa ndani ya YESU KRISTO nae akiwa ndani yako.mwamini sasa nawe utapata ufahamu na kuujua ukweli. jina la Bwana Yesu Kristo lihimidiwe.
 

Umeandika vyema, ila huo "ukatoliki" umeharibu. Maisha ni mtu na Mungu wake na jihudi zake hakuna haja ya mashindano.
 

walipatiwa dau la sh ngap?
 
walipatiwa dau la sh ngap?

mkuu kumbe na wewe umechungulia ukaiona hiyo kamba sio?kama anaweza kurudisha wafu kwa nini asitusaidie kuwafufua wapendwa wetu tuliowazika ktk makaburi ya kinondoni au pale sinza makaburini?huu ni utapeli na huyu gwajima ni tapeli.
 
Flora Mbasha alikuwepo kwenye msafara.....au anamsubiria hotelini.....??
 

mtu akikupungia na wewe punga, hiyo ndiyo hekma
 

Gwajima kiongozi wa kiroho? mbona hafanani?
 
Tanzania ni nchi iliyobarikiwa sana east africa kama sio duniani kote kwasababu ukiachalia mbali madini, gesi, mbuga, vivutio vya utalii, pia tuna manabii wana uwezo wa kufufua watu....chezea tz wewe
 

umenivunja:wave: ambavu aisee:smile-big:
 
Sioni cha ajabu kwani Mamiss wanasindikizwa na msafara kuzunguka DSM, juzi bia ya ndovu ilikuwa na itifaki yake toka airport, basi ujue hakuna formula yoyote anaweza kufanya chochote hapa bongo usishangae ndugu yangu.


Ni Tz tu lakn haya mambo yanatokea, Tz ya ajabu sana, by the way nakupenda nchi yangu.
 


Umesahau wafufua wafu !
 
Aisee watu wanatapeliwa jaman michango yote ile mnapigwa na jua namna hiyo?
 
Aisee watu wanatapeliwa jaman michango yote ile mnapigwa na jua namna hiyo?

Sasa ikitumika ipasavo watu watakula wapi mkuu??kuhudumia hummer sio kazi ndogo ha ha ha ufisadi kila mahali
 
Huyu fisadi tu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…