N-handsome
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,453
- 560
No Comment issue hii inmuinvolve Senior Partner
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna jambo hujalijua hapo, kwanza kabla ya kujiuliza swali lako, ungejihoji wale wanao fufuliwa ni waliokufa katika mzingila gani, ndipo uje ujiulize ama uulize hili swali lako, kwanza tambua kuwa mtumishi atakayelifanya jambo la kukufua ikiwa Mungu mwenyewe hajapenda litokee,Ikiwa maandiko yanasema kila mwanadamu atakufa, ikiwa dhamira ya makanisa mengine ni kukufua wafu, maana yake ni nini?? Je, hao wanaodaiwa kufufuliwa tena hata wale walioamua kujinyonga kwa kuona kuwa dunia hii haifai kuishi au wale walioomba kila siku wafe ili wakapumzike mahala pema, inakuwa wakifufuliwa au nini madhumuni ya hii dhana ya kufufua wafu? Je, wale waliofufuka wataishi milele yote?
lipi jepesi kujikweza kwa kumtumikia shetani ama kujikweza kwa kumtumikia Mungu? imeandikwa 'andiko huua, bali roho huhuisha,' basi kulisoma kwa kutafakali ili kuepuka kufishwa nalo, na si kulisoma kwa kulikariri tukawa wafu na vijeba wa nenoKila ajikwezae..........
ndugu yangu, kuna watu wanapona huko japani si mchezo, hapahapa Dar, kuna watu walikuwa na matatizo ya kufa mtu lakini kwa maombi tu Mungu amewaponya...sisi walokole huwa tunatabia ya kuwapenda na kuwatunza watumishi wa Mungu kwasababu Biblia inataka tufanye hivyo..ndio maana washirika huko japan wanaweza kumnunulia mtu gari ya mamia ya mamilioni kwamba awe anatembelea pale anapoenda kuhubiri mikutano....tumeitwa kuhubiri dunia nzima bila mipaka, sasa wale wanaojifanya wachungaji lakini wanaishia tu kibamba, wanajilimit kuhubiri....kakobe alipoenda korea kama uliona mikutano yake ilikuwa ya mamilion ya watu, walimpeleka kwenye kiwanda cha suti, kuna suti zake special zenye nembo ya saa ya uzima kama kilivyo kipindi chake...uyu gwajima kaanzisha makanisa kibao korea na japan, hapa mnamdharau lakini wenzenu wanaona ana kitu...anabomoa ubudha na uhindu katikati ya japan sehemu ambazo watu wanaabudu miungu mingine, na Mungu anamtumia ajabu...enda kwenye website zake pia utapata picha ndogo sana...wajapani wanaokuja pale kwenye kanisa lake wakikusikia wewe mlala hoi wa bongo unaongea hivyo, wanakushangaa kwasababu wao wameona mengi Mungu amefanya japan...
gctc bofya uone web yao, ukimaliza hapo nenda hapa
Ufufuo na Uzima
sina uhakika na uwezo wako wa kufiria, kulingana na hapo nilipo nukuu, hivi kwa akili zako unadhani uaskofu huteuliwa na nani?
kwanza huyu anayezungumziwa na hii topiki si askofu ni mchungaji, wala si padre, wala si mtume na nabii, hata hivyo swali langu bado litakuwa pale pale, tatizo ni king'ora ama mchungaji?
hayo ya ving'ora mbona mmeyashikia bango hivyo?na ni makelele ya mara moja tuu??
mie naona tudiscuss kanisa lake na mahubiri yake,ningependa kujua huyu mchungaji anaongoza ibada za mazishi za waumini wake??au kanisa lake hamna kufa??iweje afufue hao ambao walijinyonga wenyewe?....mtueleze na sie tukajiunge kama hakuna kufa..lol
Ufufuo na Uzima
http://1.bp.blogspot.com/_MBN8_4cqa8c/TAtbe6b88wI/AAAAAAAAAIQ/jUr8o0wtQFo/s1600/Pic+5.JPGMama Mchungaji, Mchungaji Grace Gwajima(RP) akilisalimia kanisa mara baada ya kurejea kutoka Japan ambapo alikwenda pamoja na Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima.
![]()
Mchungaji Josephat Gwajima, Mchungaji Kiongozi wa Kanisa lenye maelfu ya watu (zaidi ya 30,000) "Nyumba ya Ufufuo na Uzima" akipokelewa kwa shangwe na nderemo na maelfu ya watu katika uwanja wa Taifa wa Mwl.J.K Nyerere, aliporejea tarehe 4 June 2010 kutoka nchini Japan ambapo alihubiri Mkutano wa Ulimwengu "ushahidi 12 wa Kibiblia kwa nini lazima wafu wafufuliwe".
Karibu Baba Gwajima...mmoja wa watoto wa kiroho wa Mchungaji Gwajima akionesha Bango kuanshiria yupo tayari kumpokea Mzazi wake katika BWANA.
Glory of Christ Tanzania Church (GCTC) is a fast growing Church in East and Central Africa with over 30,000 members per one sitting at its main Cathedral in Dar es salaam, Tanzania popular known as "Nyumba ya Ufufuo na Uzima" a Swahili Sentence that is translated into "The House of Resurrection and Life". It was established in 1994 by Pastor Josephat Gwajima who is the founder and Senior Pastor of the Church. GCTC has many branches in Tanzania and outside the country. The church leadership therefore consist of Senior pastor (Josephat Gwajima), Residence pastors, Associate pastors, Ministry pastors and Sphereds. OUR Residence pastors; 1. Grace Gwajima (senior residence pastor) 2. Pastor Mwangasa Ngwandu 3. Pastor Maximillian 4. Pastor Mwangela 5. Pastor Yekonia Bihagaze 6. Pastor Adriano 7. Pastor Braison 8. Pastor Naomi 9. Pastor Chagulilo
Kila ajikwezae..........
Hivi huyu Askofu si ndiyo alisema atamfufua Amina Chifupa? Mwana wa Mungu na wengine nisaidie kufafanua kama huyu si mmoja wa wale waliondikwa kwenye bible kuwa nyakati za mwisho, wako watakaoponya kwa jina lake lakini si wamoja na Bwana Yesu.........
ndugu yangu, wakubwa waliingilia kati pamoja na familia wakawa hawataki iyo itokee, lakini kama wasingefanya ivyo, amina chifupa angerudi laivu, ..waliogopa mvurugano utatokea huko kwa wakubwa kwasababu kuna siri nyingi sana kwenye hiyo selikali yenu. Hivyo ilibidi waombe jamaa asimrudishe..
iyo inatoka moyoni au unaongea kinafiki, manake unahangaika kweli na chuki zako...
Chuki za nini kaka,...bdo una kisasi rohoni MTU WA MUNGU?. EBU REKEBIKA BANA, HUKO ULIKO BANA. KAKA HUJIFUNZI WENZIO WALIVYO?, BADO TABIA ZILE ZILE ZA LIPINYAPINYA, LITAPWASI, MAGAGULA, LITOWA, NAMBALAPI, NDONGOSI, MDUNGUWALO, HANGA, LIZABONI, MFARANYAKI, MAHENGE, MBINGA-MHALULE, KIGONSERA, NAKAUGA, NAMABENGO, MHUKURU, NAMANYONI, PARANGU, NANDUTU, BOBAMBILI..MPITIMB, MPEPAI, LITISHA, KILAGANO, MATOGORO, SINAI,NGO'MBO,CHIWINDI, MBAMBABAY, CHENGENA, KWAMBE, LIULI, LUNDO, LIPINGO, LIPINGU, NGINDO, CHIULU, KIGILAGILA, MKAKO,MBUJI,HAGATI, LITEMBO, MBAHA, NYONI, MBAMBI,KILIMAHEWA, MADABA, WINO,RUHUHU, NGUMBO, LIKONDE,NAMANDITI,KITAI,LIPALAMBA,CHIMATE ,WINO....?.