Gwajima wa kanisa la Ufufuo na ving'ora barabarani

Ubungoubungo na Ngoswe muendelee kwa amani wandugu msikasirishane, hili jukwaa ni la kuelimishana na sometimes kurelax na kujiburudisha. Peace!
 
kuna jambo hujalijua hapo, kwanza kabla ya kujiuliza swali lako, ungejihoji wale wanao fufuliwa ni waliokufa katika mzingila gani, ndipo uje ujiulize ama uulize hili swali lako, kwanza tambua kuwa mtumishi atakayelifanya jambo la kukufua ikiwa Mungu mwenyewe hajapenda litokee,
na ikiwa Mungu kapenda mtu alokuwa maekufa afufuliwa basi mtu huyo hakufa katika mapenzi ya Mungu kama apendavyo yeye, wengine wamekufa kwa mapenzi yake Mwenyezi ili yeye atukuzwe
si kila unaloliona linatokana na mapenzi ya Mungu, kwani kuna ubaya gani kuomba Mungu ili mtu alo kufa kwa njia zisizo za mapenzi ya Mungu afufuliwe? ni shetani peke yake aso penda wafu waliokufa katika njia zake wafufuliwe,
 
Kila ajikwezae..........
lipi jepesi kujikweza kwa kumtumikia shetani ama kujikweza kwa kumtumikia Mungu? imeandikwa 'andiko huua, bali roho huhuisha,' basi kulisoma kwa kutafakali ili kuepuka kufishwa nalo, na si kulisoma kwa kulikariri tukawa wafu na vijeba wa neno
 

Hivi huyu Askofu si ndiyo alisema atamfufua Amina Chifupa? Mwana wa Mungu na wengine nisaidie kufafanua kama huyu si mmoja wa wale waliondikwa kwenye bible kuwa nyakati za mwisho, wako watakaoponya kwa jina lake lakini si wamoja na Bwana Yesu.........
 

Mkuu Anyisile,

Itakuwa kazi ngumu kwako kujaribu kupima uwezo wangu wa kufikiri kwa kutumia hii thread. Tatizo hapa sio mtu kuwa mchungaji, Askofu, Padre au Katekista. Suala hapa ni matumizi ya Ving'ora. Katika barabara zetu za Dar misongamano kibao halafu eti mtu mmoja (Mchungaji) anaamua kuwasimamisha watu wengine ili yeye apite. Kumbuka tuna maaskofu (cheo cha juu kwa mchungaji) wanatumia barabara hiyo hiyo lakini hawatumii ving'ora.

Nirudi kwa suala la uteuzi wa Askofu, kwa baadhi ya makanisa ambayo yana utaratibu unaoeleweka, Askofu anachaguliwa kutoka kundi la wachungaji. Kwa Kanisa Katoliki, Askofu anateuliwa na Papa. Lakini kuna Maaskofu kibao ambao wamejipachika tu hivyo vyeo. Na huyo Mchungaji anayetumia ving'ora sijui hilo daraja la uchungaji alilipataje ingawaje hilo sio suala hapa. Suala hapa ni matumizi ya ving'ora!!!!

Tiba
 
hayo ya ving'ora mbona mmeyashikia bango hivyo?na ni makelele ya mara moja tuu??
mie naona tudiscuss kanisa lake na mahubiri yake,ningependa kujua huyu mchungaji anaongoza ibada za mazishi za waumini wake??au kanisa lake hamna kufa??iweje afufue hao ambao walijinyonga wenyewe?....mtueleze na sie tukajiunge kama hakuna kufa..lol
 

Rose my dear, don't trouble to ask for this kabisa..hii ni staili tu ya jamaa kutaka kupata umaarufu wa haraka kwa kuwa dini kama siasa, kila aanzishae kanisa lazima awe japo na kaji sera fulani ka kuvuta waamini..na kama unavyojua mtu akishaingia kwnye ufuasi hawezi hata kuchunguza ukweil,ya haya..kama unafuatilia vizuri huyo GWAJIMA kwny mikutano yake ya Kimataifa unaweza kumsikia mwenyewe akikiri wazi kuwa hata huo uwezo wa kukufua watu hana ..ni kanyaboya tu..hoja zake anapigilina misumari kwa mifano tu kwenye mistari ya bible ("evidence No. 1, 2,3,4,5.......")na kwa Japan ndo kadhihirisha wazi, anazungumzia "hearsays" kuwa wachungaji wake (pastors) ndo walifufua mtu wakati yeye yupo Japan...(akisema for example in my church..).. Dini kama bhangi, ikikuingia hovyo, huwezi kuona udhahifu wa yale unayohubiriwa hata kama hayaendani kabisa na ukweli wa mambo..Ukisoma vizuri maandiko, kazi za manabii akiwemo YESU KRISTU hazikuwa zimejikita zaidi kwenye kupoya wajonjwa ama kufufua waliokufa bali ni kuubiri NENO LA MUNGU kwa maana ya kuponya roho za wale wanaoishi wakitenda dhambi ili wapate kumjua mungu. Kwa mfano, YESU alijihusisha katika matukio machache sana (yana hesabika) ya miujiza ya uponyaji wa na Ufufuo wa wafu ilikuwa ili kudhihirisha uwepo wa MUNGU na kupitia yeye miujiza yaweza kufanyika.

Siku hizi haya makanisa yetu mengi ya "Upendo/Upako/Mwamko/Kupaa na Bwana/Ufufuo nk"..yamejikita katika mfumo wa ajenda au Itikadi ya kuvuta watu wasioielewa vizuri dini na ndo maana unakuta kanisa lina ongozwa na familia ya mtu mmoja (Baba Askofu (Bishop), Mama Mchungaji (Pastor), Watoto wa njilisti
na watunza Hazina yote) na watu hawashitukiii... Ni rahisi kusikia haya makanisa mkeo ni Mchungaji Mkuu wa Wachungaji wote ili kuhakikisha unawathibiti wachungaji wengine na sadaka zinakuja nyumbani.

Cha kujiuliza ni kwamba, katika nyumba, je wote unaingiwa na Wito wa Kuhubiri kwa wakati mmoja na kufikia kwenye ngazi ya Uandazmizi (Seniors) kwa wakati huo huo na nani anayewapitisha/kuawathibtisha mpaka kufikia kwenye hiyo nagzi ambayo ni vigumu kwa waumini wengine kuingia....?

 
Nkumbuka mwaka fulani 2003 au 4 niliwahi kuona msafara wa kiongozi fulani wa kihindi jina limenitoka nae alipigiwa ving'ora kama huyu!
 
mi nasema huu ni usumbufu mkubwa hata kama ni kiongozi wa dini..tuna viongozi wa dini wangapi dar es salaam hapa?? leo kila mtu akipita na ving'ora watu wataenda kazini kweli?? si itakuwa ni ving'ora mji mzima?? na bado kila siku watu wanaanzisha makanisa..akipata waumini wawili watatu mara askofu mara sijui nabii mara sijui nini..mimi hiyo hainisumbui ila linapokuja suala la kupigiana ving'ora naona ni usumbufu mkubwa..ya kaisari mpeni kaisari na ya mungu apewe muhusika ..ivi kule mbeya kunako makanisa lukuki yakianza haya ya vingora si wamekwisha wanyakyusa na wasafwa..maake hawatafanya chochote zaidi ya kusikiliza ving'ora tuu..kuwa na waumini elfu 30 ndio nini??be serious guys
 

ndugu yangu, wakubwa waliingilia kati pamoja na familia wakawa hawataki iyo itokee, lakini kama wasingefanya ivyo, amina chifupa angerudi laivu, ..waliogopa mvurugano utatokea huko kwa wakubwa kwasababu kuna siri nyingi sana kwenye hiyo selikali yenu. hivyo ilibidi waombe jamaa asimrudishe..
 

hakika wewe ni mwana wa mungu...hii yako imenifurahisha kaka..
 
iyo inatoka moyoni au unaongea kinafiki, manake unahangaika kweli na chuki zako...
 
iyo inatoka moyoni au unaongea kinafiki, manake unahangaika kweli na chuki zako...

Chuki za nini kaka,...bdo una kisasi rohoni MTU WA MUNGU?. EBU REKEBIKA BANA, HUKO ULIKO BANA. KAKA HUJIFUNZI WENZIO WALIVYO?, BADO TABIA ZILE ZILE ZA LIPINYAPINYA, LITAPWASI, MAGAGULA, LITOWA, NAMBALAPI, NDONGOSI, MDUNGUWALO, HANGA, LIZABONI, MFARANYAKI, MAHENGE, MBINGA-MHALULE, KIGONSERA, NAKAUGA, NAMABENGO, MHUKURU, NAMANYONI, PARANGU, NANDUTU, BOBAMBILI..MPITIMB, MPEPAI, LITISHA, KILAGANO, MATOGORO, SINAI,NGO'MBO,CHIWINDI, MBAMBABAY, CHENGENA, KWAMBE, LIULI, LUNDO, LIPINGO, LIPINGU, NGINDO, CHIULU, KIGILAGILA, MKAKO,MBUJI,HAGATI, LITEMBO, MBAHA, NYONI, MBAMBI,KILIMAHEWA, MADABA, WINO,RUHUHU, NGUMBO, LIKONDE,NAMANDITI,KITAI,LIPALAMBA,CHIMATE ,WINO....?.
 
Ahahaha-uhuru lazima tupractice kila kitu hata ving'ora.
 

mbona una nikoti mimi, kwani nani kakwambia mimi nilikuwa nakuongelea wewe ngoshwe? unajishuku nini mkuu? by the way, nashukuru kunikumbusha huko bush party nilikokuwa nimetupwa na wazee nikajifunze kuishi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…