Gwajima wa kanisa la Ufufuo na ving'ora barabarani



MKuu, hata hujui right vs wright???

We haya umeyajuaje kama sio kuhadithiwa na mwenyewe??

We haki ya kuongelea yale ambayo si rahisi kuaminika na wengine unaipata wapi?

Thibitisha haya unayoeleza hapa mkuu, msiishi kwa kuamini ushuhuda wa mtu ambae tayari mnamwamini kuwa hawezi kuwadanganya..mmepotoka, kamwe hamuwezi kuujua ukweli!.
 
Hiyo yote ni kwasababu Tanzania haiongozwi kwa utawala wa sheria ndio maana hakuna anaweza kumnyooshea mwenzie kidole.Kila mtu anajiamlia anavojisikia.
 
unaposema nitalala nje na familia yangu said:
kwasababu siku zote huwa wanapinga mambo ya Mungu[/COLOR], kwasababu tu wao ni wakatoliki.....wewe ndo utafilisika na si mimi...tupinge ndani ya miaka hii mitano nani kati yangu mimi na wewe atafisilika...you will remember these words...!!!!!!!!!!!!!


Nadhani mkuu na wewe pia umeteleza kidogo. Kama ni mtu unemuheshimu MUNGU kweli usingemtakia mabaya mwenzako kwa kumwambia ataona baada ya miaka 5.
Hili suala la misafara linakera sana. Pia siku hizi wanaoitwa watumishi wa MUNGU naona wanatofauitiana na wale wa kwenye bible (labda ni ufunuo mpya), kwa kweli kuishi maisha ya anasa kwenye nchi yenye maskini kama TZ kwa mtumishi wa MUNGU wala hakuleti ushuhuda wa kweli. Injili ya cku hizi imekazania material/physical things badala ya spiritial things.
Kutumia ving'ora sio sahihi hata uwe wewe ni nani, kila mtu ana haraka zake na mahitaji yake bwana!

 
Siku ile wengi watalia wakisema "BWANA hatukutoa pepo kwa jina lako, na kuamuru vipofu kuona, na viwete kutembea" lakini YESU atawajibu "ondokeni kwangu ninyi watenda maovu, sikuwajua ninyi kamwe".
 
It is pity. emergnce ya makanisa kama haya ni kwenye shida za watu. watu wana mamatizo mengi sana na hawa ndio wanachukilia advantage of the situation.....
 
Repent! Repent! Repent!....... Ole wako wewe unaenyanyua kinywa chako kumsema mtumishi wa mungu ghadhabu ya mungu iko juu yako! ASEMA BWANA WA MAJESHI....Soon or later you will face the consequences! So repent! I said Repent!!
 
Ndo TZ hiyo bana, kavp nawewe siku piga ving'ora huku ukiwa machafu.
 

Hakuna mtumishi wa Mungu hapa. Hawa ndo wale waliokuwa brainwashed vya kutosha na wanapeleka vimishahara vyao vyote huko na hao jamaa kutembelea magari ya mamia kwa mamia ya mamilioni. Wanapaswa kupigwa stop. Ilishanitokea nikiwa Arusha mwaka jana. Nikasikia king'ora nikawahi kuweka pembeni kigari changu. Nilichojionea ni landrover pickup na mgambo wake ikifuatiwa na magari ya kifahari aina ya Range Rover sports 4 na Vogue kadhaa zimetolewa namba baadhi na kuwekwa simbol ya ngurumo ya upako yaani Geo Davis. Nilijisikia vibaya sana. Na wakati napaki pembeni nilifikiri msafara wa kiongozi au wanajeshi kwa kuwa ile pickup ina rangi kama zile za jeshi. Hawa watu wapigwe marufuku. Rais anaweza kuwa anaogopa kuonekana mdini but asiogope kuwatight hawa watu .
 
Kutembea na ving'ora, ni pesa yako tu, kwa sababu hutakuwa na foleni na utafika kwa muda mfupi huko unakokwenda, unatakiwa kulipa pesa kiasi kama cha Tsh. 50,000/= kwa dakika hizo ni gharama za mwaka 1996 nazani kwa sasa zitakuwa zimepanda. Kwa hiyo hata wewe kama unapenda kutumia ving'ora ni kiasi cha kwenda kwa Kova na kumueleza nia yako kisha mtakubaliana.
 
Wao wanajipa promo sana, Kinyume kabisa na mwenendo wa mwenyewe wanaye muhubiri (Y.K); ambaye baada ya uponyaji aliwambia maneno yanayolandana na haya

"enenda zako utende mema, huna haja ya kunipa promo mimi"

Wao ni kama wanaagiza kuwa "Enendeni muweke mabango yangu makubwa na mnitangaze kuwa the Great Evangelist is here today! na muonyeshe kwa picha nyomi la waumini na magongo yaliyokusanywa toka kwa Walemavu wa viungo kuthibitisha kuwa naweza kufanya miujiza!!"

Ehe Yesu shuka leo uwa aibishe mashalo- preachers hawa!

Jikumbusheni movie ya Kanumba RIP, Fake Pastors.
 
Ala, sasa huu uwenda wazimu, haiwezekani mtu tu anajiamulia kupiga ving'ora kutokea kusikojulikana.
kaka bill inchi hii imesha uzwa, sema watupe hela zetu tu sepe kila mtu ajue atasepea wapi, sasa ndio kinachosubiliwa
 

kiongozi wa kiroho??nani Gwajima??
 
Hivi Mkuu mwenyewe Yesu Kristo angekuwepo wakati huu angekuwa anatembea na ving'ora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…