ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 937
Jambo usillolijua sio vizuri kulitolea hukumu........!!!!!! mtumishi wa Mungu huyu kulindwa usishangae pamoja kuwa na maadui wengi sana kiroho waliojaribu hata kuumua kiroho na kuamua kumshambulia kimwili pia.....ameshawahi kutumiwa majambazi .....home kwakwe na Mungu akawapofusha macho yao wakakutana naye yeye mwenyewe na wakamuuliza wewe mtoto baba yako yupo wapi? Ameshawahi kutaka kupigwa Kisu kanisani ...ndani ya kanisa......sasa no research no wright to speak!!!
MKuu, hata hujui right vs wright???
We haya umeyajuaje kama sio kuhadithiwa na mwenyewe??
We haki ya kuongelea yale ambayo si rahisi kuaminika na wengine unaipata wapi?
Thibitisha haya unayoeleza hapa mkuu, msiishi kwa kuamini ushuhuda wa mtu ambae tayari mnamwamini kuwa hawezi kuwadanganya..mmepotoka, kamwe hamuwezi kuujua ukweli!.