The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Si kweli. Ni chawa na tapeli wa kawaida mchumia tumbo anayetafuta pa kunyonya na kufichia jinai yake.Yule ni mwanamikakati mbobevu, ndiyo shughuli anayoifanya kuzuga watu kwa kubadili uelekeo wa upepo. Anadandiadandia hoja kupoteza watu maboya
Ukimsikiliza vizuri askofu uchwara wa kujipachika Josephat Gwajima, unashangaa. SIku hizi, amendandia hoja iliyotaka kumzamisha ya utekaji. Anasema hapendi utekaji kana kwamba kuna mtu mwenye akili zake anayeupenda ukiachi wauaji wetu .
Kinachoshangaza ni kusema eti serikali na vyombo vya usalama haviteki watu. Hii, inamaanisha Gwajima anawajua watekaji na wasio watekaji kama siyo kutaka kung'ata na kupuliza ili aendelee kuishi maisha yake ya ndumilakuwili.
Kama vyombo vya usalama na serikali hawahusiki na utekaji, nani anateka watu?
Kuna haja ya kumfichua Gwajima aache uchawa, unafiki, upopo, utapeli, na kutafuta kiki. You can't be both clean and dirty at the same time. Tafadhali, Gwajima, onyesha unaposimamia badala ya kutufanya wote mazwazwa kama wewe.
NAWASILISHA.
Hapana. Anajichanganya. Usishangae akaishia kuwa kama Polepole kwa kutaka kucheza kama double agent.Huyu jamaa atawachanganya sana 😂😂😂😂😂 Hadi mchanganyikiwe...
Genius?Ukimsikiliza Gwajima "btwn the lines" kwa kumfuatilia hotuba zake utajua kuwa yule jamaa ni Genius
Hivyo usimchukulie kirahisi rahisi kama vijana/wazee wa kijiweni...
Tatizo watu wasio kuwa na maarifa mnafikiri muda wote kiongozi anatakiwa aongee vitu vya kuwafurahisha....
Ni kweli. Ni genius kwa mazwazwa. Hana ugenius zaidi ya kuwa tapeli. Hovyo kabisa.Ukimsikiliza Gwajima "btwn the lines" kwa kumfuatilia hotuba zake utajua kuwa yule jamaa ni Genius
Hivyo usimchukulie kirahisi rahisi kama vijana/wazee wa kijiweni...
Tatizo watu wasio kuwa na maarifa mnafikiri muda wote kiongozi anatakiwa aongee vitu vya kuwafurahisha....
Ni kweli. Kwa wasio na upeo wowote kama wewe inahitaji 'upoe mkubwa'. Kwa wenye akili, hakuna cha u;peo wala nini bali utapeli uchwara tu.Hiyo kauli inahitaji upepo mkubwa kuielewa. Ni sawa umwambie Samia tunajua wewe huku husika na mauaji ya tarehe 29 na Wala walioko chini Yako hawakuhusika ndio maana mpaka Leo hakuna hata mmoja aliye kamatwa Wala kuwajibisha
Ukiwa na akili ndogo utasema huyu mtu anampamba raisi lakini infact kamwambia indirectly kuwa anahusika na anapaswa kuwawajibisha walioko chini yake
Ungechutama kidogo tu kuliko kuendelea kujidhalilisha. Rudia kusoma Tena uelewe.Ni kweli. Kwa wasio na upeo wowote kama wewe inahitaji 'upoe mkubwa'. Kwa wenye akili, hakuna cha u;peo wala nini bali utapeli uchwara tu.
Chutama wewe unayechutamishwa na matapeli kama gwajima.Ungechutama kidogo tu kuliko kuendelea kujidhalilisha. Rudia kusoma Tena uelewe.
I'm otter here