Subiri kesho uone moto wa AzamMimi ntasemaje sasa,......!
nadhani unaona alichokifanya 58' kampasia adui karibu na 18Mhhh really π€π€π€
Mugalu kamuambukiza kukosa magoli.Kagere alikosa utulivu hapa tulikua tunaandika bao la pili
WapiHivi ni macho yangu au vipi,naona ni kama kuna kuumbuka hapa leo
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Lakini Miquissone ni Simba πππKumbe Simba bila miquesone ni sawa na Singida United tu