Gwambina FC 0-1 Simba SC | Simba yapaa kileleni

Gwambina FC 0-1 Simba SC | Simba yapaa kileleni

61' Ametoka Morrison na anaingia Dilunga upande wa Simba SC

Gwambina FC 0-1 Simba SC
 
Nadhani Simba Hana Uwezo Wa Kuongeza Goli Lingine, Gwambina Wana Consistence Nzuri Kuliko Mo Fc... Ebu Tungoje
 
67' Ametoka Saleh na ameingia Rajabu upande wa Gwambina FC
 
aliyeamua kupeleka hii mechi Misungwi alitumia akili kweli? pitch mbovu mechi mbovu
 
70' Ametoka Bocco na ameingia Kope Mutshimba Mugalu upande wa Simba SC
 
Back
Top Bottom