Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uambiwe na nani utopolo
Utopolo hao walikujia ndotoniWaoooh! kumbe sio mara zote natakiwa niziamini ndoto, jana niliota tumepigwa eti na Gwambina. Nikashtuka saa tisa nikaanza kusikitika ila nikakemea[emoji16][emoji3]
Mkuu lile goli halihitaji var ninrushwa ya wazi hata Shabalala angefunga ndani ya box angeambiwa kaotea
Bado mechi mbiliKimsingi tayari tushaongoza. Hivi Simba viporo vyetu vimeisha?
Wamlipe wapi, mpaka Mwamedi akope kwenye familiaHivi mshamlipa yule jamaa pesa zake?
Fasta, tena amelipwa na ya kutolea kabisaHivi mshamlipa yule jamaa pesa zake?
Mkuu unatesekea wapi, maana pale juu palikuwa na baridi haswaa! 😁 😁 😁Wamlipe wapi, mpaka Mwamedi akope kwenye familia
Waoooh! kumbe sio mara zote natakiwa niziamini ndoto, jana niliota tumepigwa eti na Gwambina. Nikashtuka saa tisa nikaanza kusikitika ila nikakemea[emoji16][emoji3]
1Nimesikia Luis na wawa wana kadi za njano, kama hivyo ndivyo wanatakiwa wakose mechi ngapi? Msaada tafadhali
Maombi yako yamepokelewa mtumishi EkuwemeWaoooh! kumbe sio mara zote natakiwa niziamini ndoto, jana niliota tumepigwa eti na Gwambina. Nikashtuka saa tisa nikaanza kusikitika ila nikakemea[emoji16][emoji3]
Nadhani Simba Hana Uwezo Wa Kuongeza Goli Lingine, Gwambina Wana Consistence Nzuri Kuliko Mo Fc... Ebu Tungoje
soooooma hiyooooKuhusu ubingwa!!!
Mpaka Sasa Yanga kabakiza Mechi 8.anatakiwa ashinde mechi zote huku akiombea simba apoteze mechi Tatu, msimamo unakuwa [emoji1313][emoji1313][emoji1313]
Yanga point 81
Simba 79
Azam 74
Azam kabakisha mechi 8, anatakiwa ashinde zote huku akiombea Yanga apoteze mechi tatu kati ya mechi nane na Simba apoteze Mechi tano kati ya mechi 11 alizobaki nazo
Msimamo unakuwa
[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]
Azam point 74
Simba point 72
Yanga point 71
Simba amebakiwa na Mechi 11 mkononi, ili awe bingwa anatakiwa ashinde Mechi 9 na afungwe Mechi mbili.Wakati huo Yanga na Azam washinde game zote nane
Msimamo unakuwa [emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]
Simba point 82✓
Yanga Point 81✓
Azam point 74✓
Mpaka Sasa Simba ana 89% ya kuwa bingwa..Mechi 11 mkononi Ni faida kubwa✓
Kabla ya mechi ya leo, apo tumebakisha mechi 10