Gwambina FC yavunjwa rasmi

Gwambina FC yavunjwa rasmi

Wachezaji wa Timu ya soka ya Gwambina wameombwa kutafuta maisha mahali pengine, hii ni baada ya Viongozi wa Timu hiyo kuamua kuivunjilia mbali klabu hiyo.

Bwana Mnyeti amesema kwamba bado anayo nia ya kuendeleza soka la Tanzania, lakini itabidi asubiri viongozi wa sasa wa TFF wamalize muda wao.

Hakika mwezi Januari ni balaa!

View attachment 2485278
Kwamba anasubiri Rais mwingine wa Tanzania
 
Team gaidi wamefurahi vijana wa kitanzania kupoteza ajira zao.
 
Back
Top Bottom