Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Koma ukomae.Bado yanga [emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Koma ukomae.Bado yanga [emoji16]
Kwamba anasubiri Rais mwingine wa TanzaniaWachezaji wa Timu ya soka ya Gwambina wameombwa kutafuta maisha mahali pengine, hii ni baada ya Viongozi wa Timu hiyo kuamua kuivunjilia mbali klabu hiyo.
Bwana Mnyeti amesema kwamba bado anayo nia ya kuendeleza soka la Tanzania, lakini itabidi asubiri viongozi wa sasa wa TFF wamalize muda wao.
Hakika mwezi Januari ni balaa!
View attachment 2485278