Gwambina FC yavunjwa rasmi

Gwambina FC yavunjwa rasmi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Wachezaji wa Timu ya soka ya Gwambina wameombwa kutafuta maisha mahali pengine, hii ni baada ya Viongozi wa Timu hiyo kuamua kuivunjilia mbali klabu hiyo.

Bwana Mnyeti amesema kwamba bado anayo nia ya kuendeleza soka la Tanzania, lakini itabidi asubiri viongozi wa sasa wa TFF wamalize muda wao.

Hakika mwezi Januari ni balaa!

FB_IMG_1672916391705.jpg
 
Wachezaji wa Timu ya soka ya Gwambina wameombwa kutafuta maisha mahali pengine , hii ni baada ya Viongozi wa Timu hiyo kuamua kuivunjilia mbali klabu hiyo

Bwana Mnyeti amesema kwamba bado anayo nia ya kuendeleza soka la Tanzania , lakini itabidi asubiri viongozi wa sasa wa TFF wamalize muda wao

Hakika mwezi Januari ni balaa !!

View attachment 2485278
Ajira za wachezaji,watunza uwanja,mama ntilie,madereva, bodaboda etc zote zimepotea, siwezi hukumu upande wowote ila tunasafari ndefu sana ya soka letu
 
Wachezaji wa Timu ya soka ya Gwambina wameombwa kutafuta maisha mahali pengine, hii ni baada ya Viongozi wa Timu hiyo kuamua kuivunjilia mbali klabu hiyo.

Bwana Mnyeti amesema kwamba bado anayo nia ya kuendeleza soka la Tanzania, lakini itabidi asubiri viongozi wa sasa wa TFF wamalize muda wao.

Hakika mwezi Januari ni balaa!

View attachment 2485278
Masahihisho, sio JANUARY, ni NJAANUARY.

Naomba kuwasilisha!
 
Wachezaji wa Timu ya soka ya Gwambina wameombwa kutafuta maisha mahali pengine, hii ni baada ya Viongozi wa Timu hiyo kuamua kuivunjilia mbali klabu hiyo.

Bwana Mnyeti amesema kwamba bado anayo nia ya kuendeleza soka la Tanzania, lakini itabidi asubiri viongozi wa sasa wa TFF wamalize muda wao.

Hakika mwezi Januari ni balaa!

View attachment 2485278
Kituo kinachofuata ni? Singida Bull Shit (SBS)
 
Karia na genge lake wanathumiwa
Kwakuzd kuomba rushwa
 
Wachezaji wa Timu ya soka ya Gwambina wameombwa kutafuta maisha mahali pengine, hii ni baada ya Viongozi wa Timu hiyo kuamua kuivunjilia mbali klabu hiyo.

Bwana Mnyeti amesema kwamba bado anayo nia ya kuendeleza soka la Tanzania, lakini itabidi asubiri viongozi wa sasa wa TFF wamalize muda wao.

Hakika mwezi Januari ni balaa!

View attachment 2485278
Hili jambo tulilitarajia kutokea, mara tu baada ya Mjomba kuondoka.
 
Back
Top Bottom