GYM: Wana mazoezi wa kunyanyua chuma na utofauti wao

GYM: Wana mazoezi wa kunyanyua chuma na utofauti wao

Mbona mi sijaleft ila nyaaa yako siachiiiiiiiiiiiiiii naifiriiiimba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaaa sanaaa, Wee huogopiiiii?
 
Mie nilishajizoesha na push ups, squash na kukata tumbo mengine weight lifting nawaachia wenyewe na nmeanza tangu 2009 mpaka leo.
 
Kuna mazoezi huwa nayatamani ila nawaza tena aaah au basi mbona umri umeenda nikubali tu matokeo.
Tuko jora moja aisee mimi nimejiamulia kutembea tu kuepusha mambo mengi maana umri ukienda bahna basi tena tunabakia watazamaji 😀 😀
 
Umemtumia Kai Greene kama reference ya bodybuilder ila Kai ni professional bodybuilder yaani hayo ni maisha yake, diet, pattern ya kupumzika na mazoezi, steroids, HGH, supplements vyote hivyo ni sehemu ya maisha yake.

Ambayo kwa bodybuilder ambaye siyo professional hatofikia mwili wa Kai kwakua siyo maisha yake.
 
Hivi umri ukisogea, kuruka kichura chura haifai?
Kutembea kwamguu na kuvaa nguo amabazo zitakufanya utoke jasho kwa wingi na kutokuongea wakati wa mazoezi ni muhimu sana ili uzuie kupumua kwa mdomo utumie pua zaidi.
 
Mimi nipo hapo kwenye cross-fitter napenda kuwa fit lakini sipendi kuwa na misuli mikubwa kama hao body builder, miaka yote mazoezi yangu yalikua ni kucheza mpira wa miguu yaani hii inajumuisha mazoezi yote uwanjani kuanzia kukimbia mdogo mdogo, kunyosha viungo n.k kwa sasa ratiba zinanibana nakosa muda wa kwenda uwanjani kila jioni ila bado nimeweza ku-maintain mwili kwa kuzingatia misosi ninayokula najiepusha sana na vyakula vyenye sukaki au mafuta mengi.Mkuu ni mazoezi gani mbadala naweza kufanya? Lengo ni kuwa na mwili wa wastani uliofit mfano wacheza mpira au wale wacheza karate wakina don yen,ton jaa n.k
Na ile ndio miili mizuri ambayo hata mimi nakuwacomfortable.
 
Njoo bwana mbona mimi nimestaafu lakin nina 2hrs everday za mazoezi
Kuna vitu mie ni mzito sana kuvifanya
Mazoezi moja wapo, na kingine sijui diet hii ndo siwezi kabisa labda doctor anikataze kwa maandishi kula kitu flani tofauti na hapo....shughuli😃
 
Kuna vitu mie ni mzito sana kuvifanya
Mazoezi moja wapo, na kingine sijui diet hii ndo siwezi kabisa labda doctor anikataze kwa maandishi kula kitu flani tofauti na hapo....shughuli😃
Mwanzoni nilipata shida ila nowdays imekua sehemu ya maisha yangu.
When am down i just lift weights and clear the air👌
Yaani hata hali ya kukosa usingizi nimeshasahau kabisa


Kwenye maisha chagua kile unakua comfortable nacho.
 
Back
Top Bottom