H.Baba: Kuna watu Wanambania Nandy ashuke kimziki

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Msanii aliyewahi kuhit hapo zamani na nyimbo kazaa H.baba ametoa povu zito kwa kusema Kuna watu Wanambania Nandy na wanataka kumshuka kimuziki ili Wasanii wao wafanye vizuri.

Nini maoni yako mdau kwenye hili
 
Nandy.jpg
 
Hivi Nandi nae anashiriki kwenye matamasha ya mbogamboga?
 
Majungu tuu hapo anamlenga simba, mwambie maendeleo kupata uno atapewa tena tuzo ya kuchongwa kutoka kwa tembo...
 
Nandy anabaniwa Maua Sama je tusemeje,Ruby Je,Jide nae?

Hapo mjue kuwa marehemu alikuwa ana mbeba sana Nandy,manake mpaka kutungiwa alikuwa anatungiwa na baadhi ya watu wa THT.

Alafu sijui huyo Nandy anashushwa vipi anapata airtime radio zote kubwa,kuna wasanii hawapati hiyo airtime.
 
Msanii aliyewahi kuhit hapo zamani na nyimbo kazaa H.baba ametoa povu zito kwa kusema Kuna watu Wanambania Nandy na wanataka kumshuka kimuziki ili Wasanii wao wafanye vizuri.

Nini maoni yako mdau kwenye hili
Diamond anataka wamshushe Nandy ili wamweke Zuchu kwenye ramani.

Walianza na Gigy wakamtumia akamtukana, ila naona watu wamepuuza ila bado wanakomaa naye tu.

WCB ni shetani. Binafsi tangu babu Tale avujishe ile video ya Nandy na Billnass eti kwa kuwa tu wana beef na Ruge nikawaona Joka 🐍 kabisa.

Hii siyo biashara ni uovu na uchawi mkubwa

Ingawa Nandy mwenyewe alipandishwa kumreplace Ruby ila kwasasa sioni kosa la Nandy.
 
WCB ni shetani. Binafsi tangu babu Tale avujishe ile video ya Nandy na Billnass eti kwa kuwa tu wana beef na Ruge nikawaona Joka [emoji216] kabisa.

Acha uongo wewe!! Tena huyo nandy alitoa rushwa ya ngono kwa marehemu[emoji125][emoji125][emoji125]
 
😂😂 wabongo tafuteni kazi za kufanya watu wameshaanza matusi hapa..😂
Namkubali nandy Tena mwenye namba yake anipe haraka si alisema anataka nogeshwa..
 
Diamond anataka wamshushe Nandy ili wamweke Zuchu kwenye ramani.

Walianza na Gigy wakamtumia akamtukana, ila naona watu wamepuuza ila bado wanakomaa naye tu.

WCB ni shetani. Binafsi tangu babu Tale avujishe ile video ya Nandy na Billnass eti kwa kuwa tu wana beef na Ruge nikawaona Joka [emoji216] kabisa.

Hii siyo biashara ni uovu na uchawi mkubwa

Ingawa Nandy mwenyewe alipandishwa kumreplace Ruby ila kwasasa sioni kosa la Nandy.
acha kupotosha yaani watifuane wao afu useme Babu tale...? Mandy akizubaa na atashuka. kweli karma is a bitch ssi akifurahia Ruby kushushwa
 
Diamond anataka wamshushe Nandy ili wamweke Zuchu kwenye ramani.

Walianza na Gigy wakamtumia akamtukana, ila naona watu wamepuuza ila bado wanakomaa naye tu.

WCB ni shetani. Binafsi tangu babu Tale avujishe ile video ya Nandy na Billnass eti kwa kuwa tu wana beef na Ruge nikawaona Joka 🐍 kabisa.

Hii siyo biashara ni uovu na uchawi mkubwa

Ingawa Nandy mwenyewe alipandishwa kumreplace Ruby ila kwasasa sioni kosa la Nandy.
We billnenga...Dem wako alizoea kubebwa atulize kipapa...Kwanza limekua bongeee..nandy anaweza mzidi zuchu ila hawezi mzidi maua sama kwa akili yako Nani kabaniwa zaidi....
 
Diamond anataka wamshushe Nandy ili wamweke Zuchu kwenye ramani.

Walianza na Gigy wakamtumia akamtukana, ila naona watu wamepuuza ila bado wanakomaa naye tu.

WCB ni shetani. Binafsi tangu babu Tale avujishe ile video ya Nandy na Billnass eti kwa kuwa tu wana beef na Ruge nikawaona Joka [emoji216] kabisa.

Hii siyo biashara ni uovu na uchawi mkubwa

Ingawa Nandy mwenyewe alipandishwa kumreplace Ruby ila kwasasa sioni kosa la Nandy.
hiyo video aliyo vujisha babu tale ili wezaje kumfikia kwanza mpaka aka vujisha?
 
Msanii aliyewahi kuhit hapo zamani na nyimbo kazaa H.baba ametoa povu zito kwa kusema Kuna watu Wanambania Nandy na wanataka kumshuka kimuziki ili Wasanii wao wafanye vizuri.

Nini maoni yako mdau kwenye hili
Jibu langu ni kwamba waaache kulialia wapambane the world is not fair, survival of the fittest.
Duniani usipojifunza utafunzwa ila usipojitunza hakuna atakayekutunza kama alivyoimba Eduboy
 
acha kupotosha yaani watifuane wao afu useme Babu tale...? Mandy akizubaa na atashuka. kweli karma is a bitch ssi akifurahia Ruby kushushwa
Unjua haya mambo ya kupanda na kushushwa muda mwingine hayana maana, sometimes sijui watu wanakukubali kuwa unajua lakini hawakuchukulii serious. Ebu fikiri mtu kama lava lava, yani kati ya wasanii ambao pale WCB hawajafanya poa sana naye yumo.

Lakini ukitazama kwa umakini dogo kuna jinsi alivyoleta impact kwenye mziki. Nikisikiliza miziki 10, 7 unakuta madogo wanaimba style ya lava lava. Lakini yeye yupo tu hapati ile hype ya maana.

Ruby aliwahi kuwa na jina lakini maybe hakujiongeza kujibrand mwenyewe ama alikosa mtu wa kumwongoza, Nandy alikuwa na ndoto kubwa. Maana kumbuka hata kuimba aliingia ili awe mashuhuri aaweze kufanya biashara ya nguo ila safari ikampeleka kweingine. Ruby anajua kuimba lakini ni wale watu wenye nyota ya kusifiwa tu halafu mambo ya kaishia hapo.

Hii si kwa bongo tu hata mbele, mfano Jorden Spark ni mkali lakini hivyo tu, hata & streeter ni mkali lakini hivyo tu.

Ushawahi jiuliza Ibra Nation na kuwa THT, amewaandikia watu wengi hit songs, anatoa nyimbo kali lakini kwanini hafiki? Watu wanasema ni mkali na ndiyo imekwisha hiyo.

Watu waache kusema wanabaniwa wapambane tu.
 
Back
Top Bottom