Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Kama una akili timamu unatakiwa kujiuliza, ilikuwaje video ya faragha ya Nandy na Billnas ikamafikia adui wa RugeDiamond anataka wamshushe Nandy ili wamweke Zuchu kwenye ramani.
Walianza na Gigy wakamtumia akamtukana, ila naona watu wamepuuza ila bado wanakomaa naye tu.
WCB ni shetani. Binafsi tangu babu Tale avujishe ile video ya Nandy na Billnass eti kwa kuwa tu wana beef na Ruge nikawaona Joka [emoji216] kabisa.
Hii siyo biashara ni uovu na uchawi mkubwa
Ingawa Nandy mwenyewe alipandishwa kumreplace Ruby ila kwasasa sioni kosa la Nandy.
Sent using Jamii Forums mobile app