H.Baba: Kuna watu Wanambania Nandy ashuke kimziki

H.Baba: Kuna watu Wanambania Nandy ashuke kimziki

Sasa WCB Wana kosa gani mkuu, wao wanapambana wasanii wao wasonge mbele.... Kiufupi tu hii ilikuwa advantage Kwa Nandy kuongeza juhudi ili kukabiliana na Zuchu ambaye anaonekana ni serious threat , Kwanza Nandy ana wide range of media support compared to Zuchu , nachokiona Kwa Nandy she looks more beautiful, impressive voice but poor songwriting skills.....tatizo la wabongo hawapendi ushindani wanawaza uchawi tuu na kuona umebaniwa.....
Hapo kwenye uhandishi umenena na watu kama hawajui nandy na ruby 90% ya nyimbo zao wanaandikiwa hawawez kuandik wenyew

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom