H.Baba: Kuna watu Wanambania Nandy ashuke kimziki

Kama una akili timamu unatakiwa kujiuliza, ilikuwaje video ya faragha ya Nandy na Billnas ikamafikia adui wa Ruge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je babu tale ndio aliye shika kamera kuwarekodi wakati wanashikana mavi??
 
Kwa mtazamo wangu mimi, Ali Kiba ndio anataka kumshusha Nandy.
 
Huyo H BABA amekuwa Kama tarumbeta.
Ni aibu msanii mkubwa kuwa mpambe wa msanii aliyetoka juzii juzi.
Sawa kuwa mpambe basi acha kugombana na. Wasanii wenzako sababu ya tumbo
 
Zuchu ana njia zake na nandi ana njia zake.
Kazi zao ndo zitawapandisha sio kitu chochote.
Sielewi huyo zuchu anabebwa vipi wakati kuna tvs na radeos hazipigi nyimbo zake.
Huyo nandi kila redio nyimbo zake zinapigwa anashushwa vipi!?
 
Kama alipandishwa basi atashushwa ila kama ana uwezo anashushwa vipi?.
 
Efm, Clouds na Ea radio ni Media kubwa na ndizo zinazoongoza kum'bania Simba....huko nako Nandy atashushwaje? Fanyeni kazi msishiriki umbea ndugu zangu.
 
Ibrahnation kwa kweli sijui kimemkumba nini jamaa anaandika kinoma na kuimba anajua balaa ila tunaishia kumsifia tu .
Nna nyimbo zake almost zote
 
Ibrahnation kwa kweli sijui kimemkumba nini jamaa anaandika kinoma na kuimba anajua balaa ila tunaishia kumsifia tu .
Nna nyimbo zake almost zote
Sikiliza ngoma kali.

Hazipati nafasi.

Media zinapiga takataka tu.

 
Sasa WCB Wana kosa gani mkuu, wao wanapambana wasanii wao wasonge mbele.... Kiufupi tu hii ilikuwa advantage Kwa Nandy kuongeza juhudi ili kukabiliana na Zuchu ambaye anaonekana ni serious threat , Kwanza Nandy ana wide range of media support compared to Zuchu , nachokiona Kwa Nandy she looks more beautiful, impressive voice but poor songwriting skills.....tatizo la wabongo hawapendi ushindani wanawaza uchawi tuu na kuona umebaniwa.....
 
Hiv Kat ya ndany na Sama nan anabaniwa??
 
Ukiambiwa usibitishe tuhuma zako utaweza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…