Wasalimu wachawi wenzio mkuuHivi definition ya nyumba nzuri ni nn!?? Eti me huwa naona ni usingizi tu...!!! Maana hata ukijenga nyumba ya 10billioni,si utakuwa unaingia kulala tu sawa na mwenye nyumba ya tope yenye makuti,wote mnapitiwa na usingizi!!
Kulinganisha na nyumba yako uliyojenga mkuu?Hongera yake, japo ni nyumba ya kawaida sana
Wasafi TV ni ya nani jombaa?wasanii wa bongo wanaposti posti vitu vya watu na kujikweza kuwa vyao mfano chibu perfume, karanga na wasafi tv
Kwani hayo mahitaji huwezi kuyaweka kwenye nyumba ya kawaida ya vyumba 2!?? Hv umewahi kujenga au unatamani tu..!!?? Hv hotel kwa mfano zenye apartment,zinajengwaje maana ukichukua apartment unakuta kila kitu na unasifia hiyo hotel. Na hapo unakuwa umelipia pengine elf 80 kwa usiku 1 ambayo ni sawa 2.4 mil. Kwa mwezi. Hayo unayowaza km nilivyokueleza mwanzo,ni mawazo ya kiafrica. Unaweza kujenga ghorofa ya bilioni 1 yenye apartment 50 tu. Ww unachukua mbili kwa ajili ya familia yako,zingine zote 48 unazifanya za biashara za kukuingizia mamilioni ya shilingi kila mwezi. Yaani uweke 1billioni kwenye nyumba ya kuishi halafu uwe unaingia tu humo unalala kisha unatoka!?? Matumizi mabaya kabisaa ya AKili...wachunguze matajiri wote waliopata hela kwa halali..yaani siyo za wizi,utapeli,madawa wala ufisadi km wana huo ujinga! Ujinga huo unafanywa na mtu anayepata hela za ghafla...!!Hivi pesa unaitafuta kwa ajili gani? Iendelee kuzaana huku wewe ukiishi maisha ya tabu au ikuhudumie.
Ndiyo kuna tofauti kubwa ya anayelala kwenye nyumba ya milion 7 na anayelala kwenye nyumba ya milioni 200.
Nyumba ya milion 200, itakuwa na AC so joto halikutesi, itakuwa na heater za maji so waoga maji moto, itakuwa mpangilio mzuri ndani ukikaa hata nafsi yako inafurahi, itakuwa na vyumba vipana hewa ya kutosha ukilala walala usingizi usio na mashaka mashaka ya kung'atwa na wadudu, itakuwa na security systems vibaka wadokozi hawapiti ovyo ovyo.
Ni kujipa moyo kusema usingizi wa nyumba ya udongo na nyumba ya mls 200 unafanana.
Kuna usingizi na usingizi murua.
Hata vits ni gari ila anaye ride kwenye meredes benz ya mwaka 2017 anaenjoy zaidi japo zote zinawafikisha mwendako ila mwenzako anafika in a style.
Same applied to nyumba, kama una ela jenga mjumba bwana maana kazi ya pesa si kuzaana tu, itumie pia kuishi vizuri.
Afadhali wewe umesifia maana naona wengine uwivu unewasonga!Good house, hongera kwake
Amejitahidi kwa kweli lazima tumpe sifa yake. Wabonge tuwe positive bana.Afadhali wewe umesifia maana naona wengine uwivu unewasonga!
Aibu!
Hivi huyujamaa ni mtanzania kweli? Mbona ana mandevu uso mzima!! Naomba uhamiani wamuite atuoneshe cheti cha baba, babu, bibi na baba yake babu
Pia huwa nahisi jamaa anatumia yale mamiti waliyoagiza polisi wasiyakate
nilikuwa nawaza tu waungwana
I know jamani!Amejitahidi kwa kweli lazima tumpe sifa yake. Wabonge tuwe positive bana.
Ovyooooo huu ubaguzi kauanzisha nani na kwa manufaa yepi? PumbafHivi huyujamaa ni mtanzania kweli? Mbona ana mandevu uso mzima!! Naomba uhamiani wamuite atuoneshe cheti cha baba, babu, bibi na baba yake babu
Pia huwa nahisi jamaa anatumia yale mamiti waliyoagiza polisi wasiyakate
nilikuwa nawaza tu waungwana
Jamaa ni Dalali wa magari "" but sijui huwenda akawa ana kazi nyingine tofauti na hiyo ..ukiachana na musicKama anaweza post kitu si chake atakuwa fala sana, ila we never know labda jamaa ana deal nyingine za maana.
hahaaa kweli ..wakati Jamaa ana vyake ana matipa ya mchanga kibaoWe unajua miziki ya Kiki. Watu wametulia wanafanya mambo. Naona ukienda ata kwa Juma nature utasema hana ela
Hii habari ina uhusiano gani na umariooo.Huyu si ndio yule mariooo anayejichubua kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu anaposti nyumba ya mama wa dem wake anasema yake duh kuna watu wana vifua vigumu[emoji23] [emoji23]
Labda anajichubua ndani ya ngoziHivi anajichubua!?mbona namuonaga ni mweusi,wanae na mkewe ndo weupe peeee