mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,931
Anapambana na hali yake....hahhahaha mi ndio siwezigi kumsifia mtu ili anione utaishia kumbwela mbwela ili akuone mwisho wa siku unarudia kumchukia. Kuwa real sifia kutoka koyoni
H-baba atakuwa anamkubari sana diamond