H.E.Bobi Wine to appear in the USA top congress

Mimi nawambia huyu kijana ana nguvu ya Trump na anamwondoa madarakan Mseveni
Kinachonishangaza ni kuwa M7 aliingia msituni baada kuibiwa kura 1986 na General Okello na akafanikiwa akidai ndio mwisho wa dhulma ile. Lakini yeye kawa zaidi ya mbaya. Africa mashariki hovyo bora kidogo sasa Africa magharibi kuna ECOWAS. Madikteta huko huonyeshwa mlango.
 
Huku kwetu si kuna mikoa ya wanaojiona mashababi; Mara na Arusha. Kwanini wasianzishe. Mamaye UKUTA tu, chuga yote wanaume waliufyata na kulala ndani. Mpaka RPC wa kwa kejeli wakati akihojiwa siku mbili kabla ya maandamano alipoulizwa na mwandishi akakejeli kwa kusema hakuna cha maandamano wala dada yake maandamano.

Watz wote ni makunguru tu. Kazi kubwa wanayoiweza the so called wanaume wa mkoani ni kuwasakama wanaume wa Dar.
 
East Africa imekuwa ya kusenge kinomaarr...
M7 mseng ...
Kinachonishangaza ni kuwa M7 aliingia msituni baada kuibiwa kura 1986 na General Okello na akafanikiwa akidai ndio mwisho wa dhulma ile. Lakini yeye kawa zaidi ya mbaya. Africa mashariki hovyo bora kidogo sasa Africa magharibi kuna ECOWAS. Madikteta huko huonyeshwa mlango.
 
Sidhani kama hilo tangazo ni la kweli,taasisi muhimi kama hiyo hawawezi kuandika jina hilo kwenye document yao lazima wangeandika jina lake halisi siyo nick name.!
 
Kumpiga teke chura sio kumkomesha bali umsongeza hatua nyingine mpya ambayo yaweza kuwa fursa
 
Sidhani kama hilo tangazo ni la kweli,taasisi muhimi kama hiyo hawawezi kuandika jina hilo kwenye document yao lazima wangeandika jina lake halisi siyo nick name.!
K*mar.
 
Ndani ya bunge la Uingereza ameitwa Bobi Wine na kila mtu ameona , kwahiyo tunakuomba uwe na amani mkuu
 
Back
Top Bottom