H.E.S.L.B yategemea kutoa majina ya waliopata mikopo wiki ya pili ya mwez october.

Yasoda Rajab

Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
24
Reaction score
5
Bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu inategemea kukamilisha na kutoa majina ya vijana waliobahatika kupata mkopo wiki ya pili ya mwez wa kumi. hayo yalizungumzwa na mkurugenzi msaidizi kitengo cha habari cha heslb bwana cosmas mwaisombwa. alisema "hadi sasa upangaji umekamilika asilimia 90 hadi kufikia wiki ya pili ya mwezi wa kumi mchakato utakuwa tayari umekamilika" nawashilisha... source..http/:habarileo.go.tz
 

acha ujuaji wewe hata mjini haupajui
 
That will be poor plan...,kwan hawajui kuna watu vyuo vimeshafungua na hawajalipia bado wanasubr kwanza majibu yao? duuh
 
ee bhana we unazid mno.baadh ya mambo cyo ya kumwaga hovyo! waweza kill wa2 kwa presha.
 
Daaaaagh hapa kuna kukosa chuo live live aseee
 
sasa kwa vyuo vilivyofunguliwa katikati ya mwez huu wa tisa mpaka wiki ya pili ya mwezi wa kumi si watakuwa wamekamilisha mwezi? Sasa kama hakuripoti na alikuwa anasubiri mkopo inakuaje?
 

Nyinyi wengine mnakuaga na hamu ya mitusi tu,wapo waliokuja na taarifa za tarehe20, eti source babu zao vigogo wa loan board siku imefika wanaona aibu ata kufungua thread zao,ss na ww unahamu ya kutukanwa sasa ole wako matokeo yatoke kabla Ya iyo tarehe.
 

soma vizuri gazeti linasema mchakato utakamilika ndani ya wiki tatu zijazo
 
bodi zile hela walizopewa na serikal walijikopesha kwanza,sasa wamepata faida ndo wana2pa cc, 2vumilie 2 vijana wangu,xa 2tafanyaje
 

Nyinyi wengine mnakuaga na hamu ya mitusi tu,wapo waliokuja na taarifa za tarehe20, eti source babu zao vigogo wa loan board siku imefika wanaona aibu ata kufungua thread zao,ss na ww unahamu ya kutukanwa sasa ole wako matokeo yatoke kabla Ya iyo tarehe.
 

we ndo pimbi kweli unadhani mi nimetunga unashindwa kufuatilia source.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…