Yasoda Rajab
Member
- Jul 17, 2013
- 24
- 5
Bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu inategemea kukamilisha na kutoa majina ya vijana waliobahatika kupata mkopo wiki ya pili ya mwez wa kumi. hayo yalizungumzwa na mkurugenzi msaidizi kitengo cha habari cha heslb bwana cosmas mwaisombwa. alisema "hadi sasa upangaji umekamilika asilimia 90 hadi kufikia wiki ya pili ya mwezi wa kumi mchakato utakuwa tayari umekamilika" nawashilisha... source..http/:habarileo.go.tz