H.O.D. nimerudi

Alafu ile status yake sasa...mi hoooi...
 
Hahahaa mods wa jukwaa hili wanachekesha sana...wameedit title wameweka 'Hodi' wakati mtoa mada wala hakumaanisha hivyo


Heading yake ilikuwaje? Huwa sipati picha mwanaume anachukua powder na kujitandika usoni lol! This is too much..

Ila the guy loves his job and boss!!
 
Mbona H.O.D hauyajibu maswali yetu?au unangoja zifike page 5 kama le bilioneazzz super gadem mburullaz Le Mutuz?
Mwenzio ni king of all social medias in bongo...wewe ni nani?kifesi?? Hahahaaaaa
 
Mi naomba akija anisaidie hili,ivi kweli udokita wa Diamond ulikua kwa ajili ya kuongeza umaarufu?
 
Heading yake ilikuwaje? Huwa sipati picha mwanaume anachukua powder na kujitandika usoni lol! This is too much..

Ila the guy loves his job and boss!!

H.O.D kifupi cha Heaven on desert
 
Sidhani kama atakujibu shoga ang

Aaaah..!kwanini jamani!!Alafu H.0.D amuige Le mutuz,wala hafanyi photoshop kututisha siee...afu hawa WCB wanapenda misifa,kipindi kile alipotea kwa ugonjwa wa moyo,hawezi challenge,naona karudi tena sijui amejipangaje au hii ni strategy ya kuwin totoz atawaambia yeye ni Le super celeb anajadiliwa hadi na great thinkers!!
 
hahaaaaaaaaaaaa we mtu umenifanya nicheke na maswali yako

nikijumlisha na mijadala yako ya hoja mchanganyiko

Halafu kaishia darasa la saba tu angefika la kumi na mbili sijui angekuwaje!!
H.O.D karudi baada ya Wema kuachana na bosi wake nini?
 
Halafu kaishia darasa la saba tu angefika ka kumi na mbili sijui angekuwa!!
HOD karudi baada ya Wema kuachana na bosi wake nini?

Aiseee wewe jamaa umewaza nje ya box . .Inawezekana hii habari ina mashiko......
 

Tumchunie sasa hadi atujibu maswali yetu asijishaue hapa alitumia nguvu nyingi kujitambulisha humu asijione celeb tayari....
 
Halafu kaishia darasa la saba tu angefika la kumi na mbili sijui angekuwaje!!
H.O.D karudi baada ya Wema kuachana na bosi wake nini?

I don't know........,

unaamini habari za shigongo kua Wema na Diamond wameachana???
 
Jf wengine tumejiunga jana tu, unaposema umerudi hata hatukuelewi, kwamba wewe ni nani? na ulikuwa umeenda wapi? na lengo lako la kutuambia amerudi nini? na sisi tufanyaje? .

mkuu mbavu zangu niachie looo nimechekaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…