Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kashaweka picha zake humu Mara kibao ila hiyo ya Photoshop kajiharibu
Hahah labda kaiweka makusudi au aliiangalia akaona ametokelezeamo saaana!
rentrer à la maison ce soir
Yani too much editing!kama zombie yani...hajiamini na uasilia wake
Hahah labda kaiweka makusudi au aliiangalia akaona ametokelezeamo saaana!
Hahahaa mods wa jukwaa hili wanachekesha sana...wameedit title wameweka 'Hodi' wakati mtoa mada wala hakumaanisha hivyo
Mkuu kwani Kifesi sio kisura? Lol
Heading yake ilikuwaje? Huwa sipati picha mwanaume anachukua powder na kujitandika usoni lol! This is too much..
Ila the guy loves his job and boss!!
Mi naomba akija anisaidie hili,ivi kweli udokita wa Diamond ulikua kwa ajili ya kuongeza umaarufu?
Sidhani kama atakujibu shoga ang
hahaaaaaaaaaaaa we mtu umenifanya nicheke na maswali yako
nikijumlisha na mijadala yako ya hoja mchanganyiko
Halafu kaishia darasa la saba tu angefika ka kumi na mbili sijui angekuwa!!
HOD karudi baada ya Wema kuachana na bosi wake nini?
Aaaah..!kwanini jamani!!Alafu H.0.D amuige Le mutuz,wala hafanyi photoshop kututisha siee...afu hawa WCB wanapenda misifa,kipindi kile alipotea kwa ugonjwa wa moyo,hawezi challenge,naona karudi tena sijui amejipangaje au hii ni strategy ya kuwin totoz atawaambia yeye ni Le super celeb anajadiliwa hadi na great thinkers!!
Halafu kaishia darasa la saba tu angefika la kumi na mbili sijui angekuwaje!!
H.O.D karudi baada ya Wema kuachana na bosi wake nini?
I don't know........,
unaamini habari za shigongo kua Wema na Diamond wameachana???
Inawezekana sijui!!!
H.O.D mpendwa wake alikuwa Penny, yeye na Wema naona hazipandi sana.
Usoni umekuaje?Na hilo ndio gari lako?
Jf wengine tumejiunga jana tu, unaposema umerudi hata hatukuelewi, kwamba wewe ni nani? na ulikuwa umeenda wapi? na lengo lako la kutuambia amerudi nini? na sisi tufanyaje? .