mkuu mbavu zangu niachie looo nimechekaje
Umerudi ulikua wapi ?
Umerudi ulikua wapi ?
Hahaha hivi ulipigwa ban ama? Longtime not seen here
ha ha ah ni picha tu imenitoa hivo ,afu mbona umeuliza gari pekee??Usoni umekuaje?Na hilo ndio gari lako?
Karibu mbeba pochi wa Nasibu
coke baridiiiiiKaribu...unatumia kinywaji gani?
Alafu ile status yake sasa...mi hoooi...
Hahah labda kaiweka makusudi au aliiangalia akaona ametokelezeamo saaana!
we binti nilikumiss ujuwe,hujambo lakiniheaven on desert yaan sisi tukaanza kazi yako humu jamvini ya kukusaidia bosi wako kuzomewa mpaka basii
Njoo ujibu maswali yetu yooteeee
Hiyo picha ya kwanza umejipaka manini sasaa naweee unatuaibisha sasaaa
coke baridiiiii
Ulikuwa wapi?
a was busy na kazi zingine maa
we binti nilikumiss ujuwe,hujambo lakini