H.O.D. nimerudi

Yaan mods mna dharau mmemuona HOD sio selebrit uzi mmeumuvuzisha huku kweliii,wakati mwenzenu maarufu mpiga picha wa msanii mkubwa Tanzania nzima Diamond platnum loo
 
Yaan mods mna dharau mmemuona HOD sio selebrit uzi mmeumuvuzisha huku kweliii,wakati mwenzenu maarufu mpiga picha wa msanii mkubwa Tanzania nzima Diamond platnum loo

Mfyuuuuuu hebu tuondolee huko na HOD wako naona wameogopa kwanza maana anafanana kama katoka kuugua ebola maana huo uso?mhhhhh??????
 
Mfyuuuuuu hebu tuondolee huko na HOD wako naona wameogopa kwanza maana anafanana kama katoka kuugua ebola maana huo uso?mhhhhh??????

Ukikaa karibu na uwaridi nawe utanukia bana Hod maarufu sema hamtak tu
 
Jf wengine tumejiunga jana tu, unaposema umerudi hata hatukuelewi, kwamba wewe ni nani? na ulikuwa umeenda wapi? na lengo lako la kutuambia amerudi nini? na sisi tufanyaje? .

aisee haka kamwandiko kama nimewahi kukaona mahali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…